Wapo wapi Hawa ndo wanahitajika katika maridhianoMaana ya hii ni nini?
Determined to be inconsequential!
No real threat, and can be used to help clean the disfigured image!
Underhand dealings to easily hoodwink the gullible amongst us.
Siku Tundu Lissu akitoka gerezani na TEC kukaa meza moja na waovu, siku hiyo nitajuwa Tanzania haina matumaini tena.
tuendelee kuvurahia ufufuko.
Hii hadaa ya "Maridhiano", hivi huyu mtu hana akili za kujuwa kuwa waTanzania wanaelewa maana halisi ya "Maridhiano" ni nini?Wapo wapi Hawa ndo wanahitajika katika maridhianoView attachment 3523513
I'm not one of them.the gullible amongst us!
Stay brave, Tanzania needs you now more than ever.I'm not one of them.