Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,848
Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka





Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka

Utafiti uliofanywa na wataalamu wa mambo ya kilimo unaonyesha kuwa zao la Kahawa nchini Tanzania huenda likatoweka kabisa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi
===================
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Vitz nchini Afika kusini, kuongezeka kwa joto kipindi cha usiku mpaka 15%, ndio unaosababisha zao la Arabica kupungua kwenye mavuno.

Hali hii ilianza tokea mwaka 1961, utafiti huo unaendelea kusema kuwa Serikali isipochukua hatua za haraka za kupambana na mabadiliko ya tabia nchi, uzalishaji wa Kahawa utaendelea kupungua, kutoka kilo 223 zinazolimwa na Mkulima wa kawaida mpaka 137 ifikapo mwaka 2060 na mavuno yatashuka kwa asilimia 30.

Utafiti huo unasema Taifa litakuwa linakosa mapato ya Milioni 28 kwa mwaka kama fedha za kigeni.

AUDIO=> http://goo.gl/cos18q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…