Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πππππ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πππππ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Pole sana makambako sio linear settlement kama katoro makambako ni junction ya mikoa ya nyanda za juu kUsini elewa hiloHivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πππππ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Toka Lin junction ikawa na linear settlement haya maajabu google map haijakusaidia basi dodoma jiji. Na morogoro nazo ni linear settlement ππππππππvisit njombe mzee ANGAliahapo makambako zinakutana Barabara ngapi ππππππHivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πππππ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Hili eneo linalo ongelewa ni junction haya tukusaidie types of settlement nucleated settlementHivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πππππ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Linear settlement ndo zipo huko katoroHivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πππππ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Mji hauna mvuto kabisa πππ€π€π€π€π€Hili eneo linalo ongelewa ni junction haya tukusaidie types of settlement nucleated settlementView attachment 3187913View attachment 3187943View attachment 3187951Iringa roadππView attachment 3187917mbeya roadππView attachment 3187926Songea road πππView attachment 3187927
Wakati, mnajadili ya kahama na njombe nawakumbusha kuwa sasa GEITA NI MANISPAA NJOMBE ENDELEENI KUUZA PARACHICHIWenzenu wapo kwenye viwanda vya kuunda magari sio ku assembly nyie mnaongelea vya juice na mafuta ambayo vimejaa Kila Kona makambako now ni level nyingineView attachment 3117361View attachment 3117370
USHAKULA ZA USO HII MADA MZEE ULIVAMIA HII MIJI HUIJUI KINDAKINDAKI πππππMAPEMA UNAHAMISHA MAGORI kuwa mpole mkoa wa njombe Uendelee na program yake ya mji wa viwanda na biashara hapa Pana kata 33 zenye mwingiliano mkubwa ko hawaja kurupuka eneo linashawishi wawekezaji ko Kaa Kwa kutulia baada ya miaka miwili mbele utaziona impact Wacha waendelee na ujenzi wa kongani za viwanda na kumbuka hata dodoma JIJI ilibezwa hivyo hivyo ila Leo hii linaenda kuwa jiji la pili kwa ukuaji nje DSM KO NIMIPANGO HAWAKURUPUKIMji hauna mvuto kabisa πππ€π€π€π€π€
Achana na huu mji, ebu leta subtown zenu zenye majengo zaidi ya 6000, kama hakuna jua Geita hamuiwezi
Hilo ni suala la Muda tu tunacho angalia fursa na usasa wa mji kumbuka njombe tc Ina gorofa 139 na geita MC 90 zingatia hiloWakati, mnajadili ya kahama na njombe nawakumbusha kuwa sasa GEITA NI MANISPAA NJOMBE ENDELEENI KUUZA PARACHICHI
Mvuto ni huu msikilize mwekezaji wa kongani ya viwanda vya chuma makambako kwa nini ameamua kujenga viwanda vyake hapo na ukumbuke chuma ndo engine ya viwanda dunian ko Hilo eneo litasheheni viwanda ndo maana tulikwambia hulijui la mbeleni kwa nini njombe Ina plan HiYo imeshaangalia miaka kadhaa mbele ππππ"MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"Mji hauna mvuto kabisa πππ€π€π€π€π€
Achana na huu mji, ebu leta subtown zenu zenye majengo zaidi ya 6000, kama hakuna jua Geita hamuiwezi
"MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"Wakati, mnajadili ya kahama na njombe nawakumbusha kuwa sasa GEITA NI MANISPAA NJOMBE ENDELEENI KUUZA PARACHICHI
Geita ni Manispaa saivi, harafu Njombe bado ni kamji kadogo na population ndogo ko itaendelea kuwa nyuma ya GeitaNdo maana tumekwambia jiografia ya njombe huijui Na mkoa umekaaje huijui unaishia kuangalia kwenye Google map siku tembelea ndo utajua kwanini wenzio walianzisha na Uzi wa geita kuachwa mbali na njombe hata tukikuelezea Sana huwezi elewa fika eneo husika ndo utajua
Endelea kujifarijiGeita ni Manispaa saivi, harafu Njombe bado ni kamji kadogo na population ndogo ko itaendelea kuwa nyuma ya Geita
After ten years Geita itaomba kuwa jiji mark my words, rate ya ukuaji wa mji ni balaaEndelea kujifariji
SAsa Kuna Mji gan ambao haukui kwa tzAfter ten years Geita itaomba kuwa jiji mark my words, rate ya ukuaji wa mji ni balaa
Mkoa wa njombe tayar miji miwili Ina sifa kuwa manispaaGeita ni Manispaa saivi, harafu Njombe bado ni kamji kadogo na population ndogo ko itaendelea kuwa nyuma ya Geita
Miji yote inakuwa uwe unatembea tunacho angalia plan za mji ni zip Hiv umejua Serikali kuipa support njombe kwa kuwapeleka watalamu china wakajifunze uwekezaji wa kongani ya viwanda baada ya miaka kumi Hilo eneo litakuaje kaiangalie Lusaka Zambia nayo ilipeleka watalamu china mwaka 2019 Leo hii wachina wamejenga viwanda vya kutosha na kupitia reli ya TAZARA viwanda vitakuwa vingi mno haya geita toka wameanza kuchimba madini hadi Leo hamna hata kiwanda kikubwa Cha dhahabu ko ndo ujue Plani zenu bado ndogo njombe migodi ya chuma inaanza tayari wamesha plan na mji wa viwanda akili kubwaAfter ten years Geita itaomba kuwa jiji mark my words, rate ya ukuaji wa mji ni balaa
After ten years Geita itaomba kuwa jiji mark my words, rate ya ukuaji wa mji ni balaa