Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,365
- 1,006
Unaongelea mkoa au mji wa njombe? Kuna njombe nyingine tofauti na hii ππACha umbumbu na ww tunakwambia hivi mkoa WA geita kimajengo madhari ya mji kwa mkoa WA NJOMBE haikamati hata kidogo hata marehemu magafuli ni wageita mwaka 2019 alikili Hilo na kubaki anashangaa kuona jinsi makambako na NJOMBE zilivo ungana na makazi ya kisasa yalivo shamili ko ACha kuchunga ngombe nenda mkoa WA NJOMBE kajifunze miji inakuaje sio kutuletea vijiji VYA katoro hapa geita kwa njombe bado Sana View attachment 3112686View attachment 3112687View attachment 3112688View attachment 3112689View attachment 3112690View attachment 3112691View attachment 3112692View attachment 3112693View attachment 3112694
Katoro inaweza kweli kusimama na Makambako? Wacha ndoto banaUsiingize Geita huiwezi ,dili na KATORO just a small town lakini kwa uzuri huwezi leta miji michafu michafu kulinganisha, baada ya miaka mitano mbele katoro patakuwa na majengo makubwa sababu ni fastest growing town πView attachment 3112479View attachment 3112467View attachment 3112470View attachment 3112472
Acha porojo leta gorofa zenye floor kuanzia tano ziwe kumi kwenda juu Hapo mkoa wa geita ,shinyanga ,kagera, simiyu, na mara ndo ujue njombe ipo moto ziwe ndani ya mkoa mmoja hatutaki viojaUnaongelea mkoa au mji wa njombe? Kuna njombe nyingine tofauti na hii ππView attachment 3112713
Tatizo lako unalinganisha mkoa badala ya mji π€π€π€ Shinyanga achana nayo huiwezi ngoja nikutoe tongotongo sasaAcha porojo leta gorofa zenye floor kuanzia tano ziwe kumi kwenda juu Hapo mkoa wa geita ,shinyanga ,kagera, simiyu, na mara ndo ujue njombe ipo moto ziwe ndani ya mkoa mmoja hatutaki vioja
Shinyanga hiyo ππebu post picha ya njombe kama hiviAcha porojo leta gorofa zenye floor kuanzia tano ziwe kumi kwenda juu Hapo mkoa wa geita ,shinyanga ,kagera, simiyu, na mara ndo ujue njombe ipo moto ziwe ndani ya mkoa mmoja hatutaki vioja
Post humu tuione hiyo makambako isije kuwa ni sawa na ule ule uchafu wa njombe ππKatoro inaweza kweli kusimama na Makambako? Wacha ndoto bana
Tumekwambia leta hizo gorofa hadithi hatutaki picha za staili HiYo za njombe zimejaa Sana kwenye Uzi huuShinyanga hiyo ππebu post picha ya njombe kama hivi View attachment 3112783View attachment 3112784View attachment 3112785View attachment 3112786
Endelea kujitekenya na kucheka njombe haiwezi linganga na hivyo vimji uChwara vyenu ipo busy kutengeneza mji wa maana ambapo tayari walisha utarget toka kabla mkoa hauja tangazwa ulivotangazwa Kaz ikaanzaNawasaidia kupost π€π€π€£π€£π€£ππnjombe yenyewe, kuweni serious na vitu mnavyosifia View attachment 3112794
Just compare these two towns πππ ni vituko yaani mbingu na duniaT
Tumekwambia leta hizo gorofa hadithi hatutaki picha za staili HiYo za njombe zimejaa Sana kwenye Uzi huu
Eti unataka tuposti jengo moja moja ili ufiche nini πππ€£π€£sema unachotaka kufichaEndelea kujitekenya na kucheka njombe haiwezi linganga na hivyo vimji uChwara vyenu ipo busy kutengeneza mji wa maana ambapo tayari walisha utarget toka kabla mkoa hauja tangazwa ulivotangazwa Kaz ikaanza View attachment 3112810
Kula chuma hicho kwanza ππ KATOROEndelea kujitekenya na kucheka njombe haiwezi linganga na hivyo vimji uChwara vyenu ipo busy kutengeneza mji wa maana ambapo tayari walisha utarget toka kabla mkoa hauja tangazwa ulivotangazwa Kaz ikaanza View attachment 3112810
Hii ni Katoro?Kula chuma hicho kwanza ππ KATORO View attachment 3112819View attachment 3112820
Ndio yenyeweHii ni Katoro?
Hii ni Katoro?
Hua ni tarafa hii?Ndio yenyewe
Ndio lakini iko wilaya ya Geita vijijini, Jimbo la busanda kama sijakoseaHua ni tarafa hii?
Ok kwahiyo ni makao makuu ya wilaya ya geita vijijini sio?Ndio lakini iko wilaya ya Geita vijijini, Jimbo la busanda kama sijakosea