ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,307
- 88,338
- Thread starter
-
- #1,341
Wewe sasa unaleta utoto..Huko kanda ya ziwa hakuna miji ya kati ya kulinganisha na Mafinga,Njombe,Makambako,Tunduma,Vwawa/Mlowo,Chunya nk..Hiyo kanda yote inategemea Mwanza tuu,,hata hiyo mwanza yenyewe zaidi ya kujazwa na maskini haina chochote cha maana cha kuzidi jiji la mbeya,kama kipo kitajeNjombe na Mafinga chalii kwa kahama, 🤣🤣yaani mji mmoja kahama umeigaragaza miji miwili njombe na mafinga. Ongezeni na Makambako mjaribu kusogeasogea kidogo.
Kusini pamesahaulika mno.
Sio tu kwa hizo sababu,nime weka hadi majedwali ya TRA hapo juu kote Njombe imeichakaza Kahama kwa revenues na still Njombe ni strategic region kwenye food na nishati/umeme..Kuna mabwawa 3 yako mbioni kujengwa kuzalisha umeme wa maji ,huku hakuna ukame kama huko KahamaFor Njombe region is better than Kahama due to the following factors:-
1.climate
2.hard working people
3.location......it found in high way of many regions such as Songea, mtwara,Lindi arc
4.it's economic growth.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii post hamuioni nyie nyumbu wa kanda ya ziwa?,linganisha mkoa wa nyumbu wavivu na sie wachapakaziWhat you know is porojo since post no.1 hakuna mnachopost kama ushahidi zaidi ya blaa blaa kibao na kulalamika na kutoa mapovu
Nimetoa hadi majedwali ya takwimu lakini wapi..Ona hii summary makusanyo kwa mikoa mitano kwa mapato 2018/2019 harafu fanya hesabu with respect to populatio.Picha gani mnapata hapo?
1.DAR=163.5bln
2.Dodoma=82.7bln
3.Mwanza=32.6bln
4.Arusha=31.9bln
5.Mbeya=31.4 bln
Toa uchafu hapo leta vitu kama hivi hapa,na bahati mbaya niko mbali na Njombe hizi picha ni za siku nyingi,kuna new developments sana saizi
[emoji1787][emoji1787]Kupata kichekesho kama hiki bonyeza * kisha # kitakuwa cha kwako.Wewe sasa unaleta utoto..Huko kanda ya ziwa hakuna miji ya kati ya kulinganisha na Mafinga,Njombe,Makambako,Tunduma,Vwawa/Mlowo,Chunya nk..Hiyo kanda yote inategemea Mwanza tuu,,hata hiyo mwanza yenyewe zaidi ya kujazwa na maskini haina chochote cha maana cha kuzidi jiji la mbeya,kama kipo kitaje
Ukija kwenye Miji ya manispaa,uchafu wa shinyanga,musoma,bukoba hauwezi hata kusogeza pua kwa Iringa,Songea au Sumbawanga..Watu wa huko mtasalia maskini na choka mbaya maisha yenu yote ndio maana mnaishi kwenye tembe
Barabara tu za lami mumepata kipindi cha mkapa mlikuwa wa shamba wa kupitiliza,hamna cha kujipiga kifua nyie manamba wa migodini,taja hapa kilichosahaulika basi badala ya blaa blaa na kujichekesha toka toka mwanzo bila facts
Unachoweza wewe toka mwanzo ni kujichekesha huna facts,refute hoja kwa facts tuone sio kukenua tuu[emoji1787][emoji1787]Kupata kichekesho kama hiki bonyeza * kisha # kitakuwa cha kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahama ni zaidi ya njombe, mafinga na Makambako combined,Wewe sasa unaleta utoto..Huko kanda ya ziwa hakuna miji ya kati ya kulinganisha na Mafinga,Njombe,Makambako,Tunduma,Vwawa/Mlowo,Chunya nk..Hiyo kanda yote inategemea Mwanza tuu,,hata hiyo mwanza yenyewe zaidi ya kujazwa na maskini haina chochote cha maana cha kuzidi jiji la mbeya,kama kipo kitaje
Ukija kwenye Miji ya manispaa,uchafu wa shinyanga,musoma,bukoba hauwezi hata kusogeza pua kwa Iringa,Songea au Sumbawanga..Watu wa huko mtasalia maskini na choka mbaya maisha yenu yote ndio maana mnaishi kwenye tembe
Barabara tu za lami mumepata kipindi cha mkapa mlikuwa wa shamba wa kupitiliza,hamna cha kujipiga kifua nyie manamba wa migodini,taja hapa kilichosahaulika basi badala ya blaa blaa na kujichekesha toka toka mwanzo bila facts
Huna facts wewe una mihemko tuu,hiyo makambako unayosema ina majengo marefu hadi 6 floors,itachukua karne gulio la kahama ku catch upKahama ni zaidi ya njombe, mafinga na Makambako combined,
Mwanza aka Ziwa ni zaidi ya miji na manispaa zote za kusini likiwemo na likijiji likuwa ninaloitwa Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza aka Ziwa ni zaidi ya miji na manispaa zote za kusini likiwemo na likijiji likuwa ninaloitwa Mbeya.Unachoweza wewe toka mwanzo ni kujichekesha huna facts,refute hoja kwa facts tuone sio kukenua tuu
Mbeya The green City is a thriving City and awesome,weka au taja chochote unachozani kiko mwanza hakipo mbeya ili ueleweke
Huu uzi umeshafungwa hapa [emoji115][emoji115]Uzi umefungwa hapa [emoji116][emoji116] hakuna haja ya kuendelea kubishana tena
Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.
Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.
Ona hili jinga,Sokoine inatumikaga kuchezea mechi za ligi ya wapi? burundi au? tafuta fix nyingine hii imegotaJijini Mwanza tuna viwanja viwili vya michezo vyenye hadhi ya kuchezea mechi za ligi kuu, huko mbeya vipo vingapi?
Sheria ya mchezo ukipigwa unakubali,blah blah hazina nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpanda na Shinyanga ni manispaa je ni bora kuliko Kahama au Njombe au Mafinga? ukipata jibu utajua kwamba uzi haujafungwaHuu uzi umeshafungwa hapa [emoji115][emoji115]
Ligi ya Tanzania umesikia wewe ndezi, sema mbeya vipo vingapi?Ona hili jinga,Sokoine inatumikaga kuchezea mechi za ligi ya wapi? burundi au? tafuta fix nyingine hii imegota
Arusha tu ndio anaweza piga mbeya knock out sio uchafu wa mwanza uliojaa maskini
Leta kingine unachozani kinapatikana Mwanza na hakipatikani green city mbeya almaarufu kijiji kikubwa kama ulivyotaja
Jijini Mwanza kuna national park, jijini mbeya ipo?Leta kingine unachozani kinapatikana Mwanza na hakipatikani green city mbeya almaarufu kijiji kikubwa kama ulivyotaja
Nyie ni watu hamtembei mnasimuliwa,yaani mimi kwa TZN hii sijafika hapo gulio la kahama tuu but picha mnazoweka zimeshindwa kujustify maendeleo ya kahama it seems inafanana na Tunduma tuu kama miji ya kichuuzi au magulio ya kuchumia pesa na kusepa
Unavijua vigezo vya kuupandisha mji kuwa manispaa?Mpanda na Shinyanga ni manispaa je ni bora kuliko Kahama au Njombe au Mafinga? ukipata jibu utajua kwamba uzi haujafungwa
Unakoelekea utaanza kusema jijini mwanza kuna mawe mengi au ziwa ,mbeya lipo? acha upuuzi hatuzungumzii nature hapa ila man made structuresJijini Mwanza kuna national park, jijini mbeya ipo?
Sheria ya kwanza no blah blah
Sent using Jamii Forums mobile app
Navijua ndio,nikutajie?Unavijua vigezo vya kuupandisha mji kuwa manispaa?
Mwanza hatuna Mlima tuna milima, Wambeyaaa mpooo?Unakoelekea utaanza kusema jijini mwanza kuna mawe mengi au ziwa ,mbeya lipo? acha upuuzi hatuzungumzii nature hapa ila man made structures
Huu hapa mlima Loleza na Mlima mbeya,watalii wanapanda vizuri tuu,Mwanza upo?