Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,015
- 2,015
Uzi umefungwa hapa [emoji116][emoji116] hakuna haja ya kuendelea kubishana tenasio lazima unione mtu hata ukiniona ni mpumavu sawa tuu ila nimekueleza ukweli kama unabisha subiria maana nimekwambia nanai kakwambia mapato tu ndio kigezo pekee? mbona wenye mapato kiduchi ni manispaa lakini nyie wenye mapato mengi sio? Nakuongezea tuu jibu la kisiasa ni tofauti na hali itakavyokuwa
No kuna jamaa alikejeli Geita kuwa is nothin ko nilikuwa na mjibu kwamba hoja ya wingi wa mapato tuu haitoshi kuufanya mji uendelee.Nikasema ikiwa Kahama imeendelea kuliko Geita licha ya kwamba Geita ina mapato mengi basi akubali tu kwamba Mafinga TC na Njombe TC zimeendelea zaidi kuliko Kahama TC licha ya kwamba zina mapato chini ya kahama TCUmehamisha mada umeanza kuilinganisha kahama na Geita
Unajitekenya na kucheka mwenyewe wacha nikurahisishieHatuandikii mate wino huo hapo chini
Na Geita imepata nguvu baada ya collabo na Katoro. Ukitoa Katoro Geita hamna kitu kwa Kahama. Ukiitoa Katoro Geita anarudi kwenye 3 BillionsUmehamisha mada umeanza kuilinganisha kahama na Geita
Huna bando la kuziweka tena?? Tupe Aerial view tuyaoneReview previous posts
Vijiji ndo vinalinganishwa kwa mashamba,sio miji....Sasa kubali ninyi ni kijiji.Si bora wana hata mashamba ya Kupost, Kahama hakuna cha Kupost kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesikia wapi kanda ya ziwa kuna mafuriko!!Za kistaarabu ndio hizo mumeogelea kwenye mafuriko mwaka huu kama vyura.Umesikia wapi Nyanda za juu huku kuna mafuriko? Huku kuna mabonde ambayo ni mikondo ya maji ya asili na hatujengi mabondeni au tambarare kama huko kwenu
Mvua za ustaarabu ndio hizo zinawatia njaa na ukame kila mwaka,vueni tu samaki mle na chimbeni dhahabu mkaange mkuu itawatoa
Vijiji ndo vinalinganishwa kwa mashamba,sio miji....Sasa kubali ninyi ni kijiji.
Na kinacholinganishwa hapa si ni miji! Sasa maneno mengi blah blah za nini?! Yaan kusema tu kahama town inaifunika mafinga town kimapato imekuwa ngumu ee?! Kwa huu unazi wako huwezi kujadili kiuhalisia.Kwa maana ya towns council Kahama town(6.2 bln) iko juu lakini kwa maana ya mapato ya Wilaya nzima yaani Mafinga town(4.2bln) na Mufindi DC(4.5bln),Mapato ni Mengi kushinda Kahama,pia TRA inakusanya mapato Mengi Wilaya ya Mufindi kuliko Kahama,hizo takwimu ni za 2018/2019 kwa mapato ya Ndani ya Halmashauri
You already know what I meanNa kwa uhalisia ni Kuwa sehemu iliyoendelea Maendeleo huwa yako Vijijini, sijui hali ya vijiji huko kahama, Bila shaka mnashea maji na mifugo
Kama mjini tu ndio pako kama gulio unadhani huko Vijijini pakoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muendelezo wa picha za Mafinga.Hivi kahama hakuna picha ni maneno tuuu,haaaaaHuna bando la kuziweka tena?? Tupe Aerial view tuyaone
Picha zinaongea kuliko empty words
Hapa tunalinganisha miji,si vijijiNa kwa uhalisia ni Kuwa sehemu iliyoendelea Maendeleo huwa yako Vijijini, sijui hali ya vijiji huko kahama, Bila shaka mnashea maji na mifugo
Kama mjini tu ndio pako kama gulio unadhani huko Vijijini pakoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha sio mapato, mkuu weka namba mezani tuelwane aisee.Muendelezo wa picha za Mafinga.Hivi kahama hakuna picha ni maneno tuuu,haaaaa
Mufindi DC+Mafinga TC=8.7bln,Kahama 6.2blnππππNa kinacholinganishwa hapa si ni miji! Sasa maneno mengi blah blah za nini?! Yaan kusema tu kahama town inaifunika mafinga town kimapato imekuwa ngumu ee?! Kwa huu unazi wako huwezi kujadili kiuhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mufindi District 8.7 bln,Kahama 6.2 bln,ππππPicha sio mapato, mkuu weka namba mezani tuelwane aisee.
Njombe Town,picha zinazungumza sio porojo
Usikute unaangalia makisio badala ya mapato halisi,sasa 3.2 b vs 2.9 b kwako unaona ni sawa na kelele unazopiga hapa?,afu angalia hotuba ya Jafo nimeiweka humu ina hesabu za hadi february,hizi zilikuwa za desemba.Hadi desemba Njombe tumevuka lengo tuko 3.9 bln wakati kahama iko 4.7bln ko bado tofauti sio kubwa kihiivyo na kwa mara ya kwanza mwaka huu yaani by June 30,Tunakwenda kuvuka 5blnUnajitekenya na kucheka mwenyewe wacha nikurahisishie
View attachment 1424350
View attachment 1424366
Na Geita imepata nguvu baada ya collabo na Katoro. Ukitoa Katoro Geita hamna kitu kwa Kahama. Ukiitoa Katoro Geita anarudi kwenye 3 Billions
Uzi hauwezi kufungwa kizembe hivi,unafungwa kwa picha za Njombe kama ifuatavyoUzi umefungwa hapa [emoji116][emoji116] hakuna haja ya kuendelea kubishana tena
Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.
Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.