raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 809
- 898
Dahh!!Walimjeruhi ila wakati akipata matibabu akafariki.
Uandishi ni changamoto kubwa hasa huko usukumani.
Dahh!!Walimjeruhi ila wakati akipata matibabu akafariki.
Uandishi ni changamoto kubwa hasa huko usukumani.
Kulikuwa na sababu gani ya kuwatambulisha watuhumiwa kwa kutaja makabila yao? Huu ni ukabila uchwara, tuulani.
Mantiki yake ni nini?Polisi ni lazima kutaja kabila lako
Soma elewa ndio uchangieKanisani!!!!
Polisi wawaulize pia kama Mchungaji wao.. aliwaambia majambo ya uongo juu ya marehemu.