Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
mkuu iko nyuma ya kahama yani..kagongwa...kahama mjini
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
kahama kaenda wapi sasa??Shinyanga nayo ina majina ya ajabu ajabu sana. Kile kibao cha "MKUU WA WILAYA - KAHAMA" Mmekiondoa?
Tokea wapi? Kama Dar, unapita kwanza Kangongwa ndo unafika Kahama, na kama unatokea Bukoba, kinyume chake.Hivi... Kama unakwenda kahama,kangongwa iko mbele au nyuma ya kahama?
Inategemea jamaa kagongewa wapi.Hivi... Kama unakwenda kahama,kangongwa iko mbele au nyuma ya kahama?
Mkuu kagongwa nyuma afu ndo kahama mjini.