Kagera Sugar vs Simba

Kagera Sugar vs Simba

Mmh nipo mbali na tv,kwa nini hawajaenda vyumbani simba au ndo ushirikina??
 
Jaribu kuficha upumbavu wako kwa kuto comment Chochote kisha chapa mwendo kwa wakoloni wenu huko.
nichape mwendo kwasababu mimi mpenzi wa Yanga na wewe simba? wana simba mna matusi ivyohivyo. hata hivyo huwezi kuepuka ukweli kwamba simba sio timu. hamia yanga mzee.
 
Ni jangwani, hakuna msitu wa kuungurumia.

Dakika 45: Kagera Sugar 0-0 Simba.

1. M. Peter
2. Chollo
3.M. Hussein
4. H. Isiaka
5. G.Owino
6. Awadh J.
7. Singano
8. Ndemla
9. Sserunkuma
10. Ajibu
11. Okwi
 
Shabiki mmoja wa Simba anasema hawajaingia vyumbani kwa sababu za ushirikina, amedai wameona kwa Mtibwa Sugar asubuhi ya leo na kwamba katika mechi ya Simba na Stand United waliingia chaka wakapigwa 1-0 hivyo leo wamechukua tahafhali ili wapate ushindi maana wametoka mbali sana.

Hayo ni maneno yaliyotolewa na shabiki wa Simba kupitia TBC Taifa.
 
Kipindi cha pili ndo kinaanza na lazima tuwachape ndani ya hizi dakika 45.
 
nichape mwendo kwasababu mimi mpenzi wa Yanga na wewe simba? wana simba mna matusi ivyohivyo. hata hivyo huwezi kuepuka ukweli kwamba simba sio timu. hamia yanga mzee.

Hehehe we huwapendi mikia tu basi
 
hapa nilipo nakula tikiti maji jekunduuu! nasubiria dakika 90 ziishe.
 
Back
Top Bottom