kwich kwich
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 366
- 106
Hawana uhakika na timu lao
Hawana uhakika na timu lao
Mmmh!!!!! inaweza ikawa mbinu yakuwachosha wachezaji wa simba, haiko shida lakini wanaume wataunguruma bila shaka.
hivi kuna watu bado wanashabikia hizi timu hadi leo?
Shinyanga si pa kuungurumia kirahisi....
Mbona mechi imeanza mapema sana, kwa joto la Shinyanga sijui itakuwaje kwa baadhi ya wachezaji!
Sababu ya mechi kuanza mapema ni nini???????
Shinyanga si pa kuungurumia kirahisi....
Tupo mkuu naona watu wamechoka na pombe za sikukuu, Azam wanaonyesha ila bundle linasua sua sana lol
Una fikra za kikoloni mnyonyaji mkubwa we!
Kiukweli roho inanidunda, bora wangekuwa wanacheza na yanga.
Nitarudi kufuata matokeo.
lakini hata ningesema nishabikie, hivi simba nayo ni timu? mtu kabisa una akili zako unashabikia simba?Una fikra za kikoloni mnyonyaji mkubwa we!
lakini hata ningesema nishabikie, hivi simba nayo ni timu? mtu kabisa una akili zako unashabikia simba?
Hapo sasa!!!lakini hata ningesema nishabikie, hivi simba nayo ni timu? mtu kabisa una akili zako unashabikia simba?
Mimi bundle iko vizuri bali hivi sasa sioni kwani kuna error message kuwa " server not found"