Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Its Funny, Christian Ronaldo aliangusha party kubwa na kutumbuizwa na mwanamuziki kutoka Brazil, baada ya party ilibidi mwaka mzima Gerald Pique, mchezajiw a Barcelona nayechukiwa sana kuishukuru hiyo party kwani msimu huo Barcelona ilichukua makombe ya kutosha, na Lionel Messi kuwa mchezaji bora Tena.
Mwaka huu Kagera sugar waliandaa Documentary moja yenye mbwembwe sana , ilitumbizwa na mtangazaji mwenye Mbwembwe sana baada ya kujipatia umaarufu ktk masuala ya kuchangisha michango kwa watu weny uhitaji wa matibabu ya ghali.SI mwingine ni SAM MAHELA. Ktk hiyo documentary Waziri mkuu, na rais walionekana kuvutiwa sana na mafanikio yalionyeshwa na hicho kiwanda. Hapa RONALDO ALIOMBA TIMU YOTE IMPE MIPIRA ILI AFUNGE YEYE"..Yaani SUkari ya nje izzuie
Nilipioona tuu hiyo documentary, kwa uelewa wangu mdogo na data sahihi nilizo nazo ktk historia ya matukio ya hii nchi nilijisemea tuu..hii ni "HII NI PARTY NYINGINE YA RONALDO YA KUUIaNGUSHA MADRID" . Nilipata huruma sana kwa mtawala wetu, nilijua siku sio nyingi tutafurahi.Na kitakachotupa furaha zaidi si kitakachotokea ila jinsi kitakavyoshughulikiwa.
Tumesikia mengine mengi km utafiti wa kadi yaserikali ktk siku 100 nao hauuziki kwani wakati report inafika watu huangalia serikali kujihakikishia, wanakuta mafuta yameishia ktk majaribio ya kutumbua Lugumi.
Tumesikia tena tafiti ya ku washangaza hadi Ccm wenyewe. Eti mwanza ni moja wapo ya mikoa Masikini nchi hii na inahitaji msaada wa haraka.