Mwanamke moja mkoani kagera amemuua na kumzika mwenzie shambani walipokuwa wakifanya kazi akidai anapendwa zaidi na mume kuliko yeye. Bibi mkubwa alimuua bibi mdogo na muuaji anashkiliwa na polisi.
Vyombo vya habari vinakosea sana, ITV wanasema mke mwenza ilhali wote ni wakristo( Wa Yesu) na Hakuna ndoa ya mke zaidi ya mmoja ?
Wangesema Hawara wa mume ama Kimada!
Ndio maana tunasema Journalist at minimum wawe na masters of Journalism