Kagera: Mwanamke amuua mke mwenza kwa madai yeye anapendwa zaidi.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,198
6,416
Habari zenu wana JF.

Mwanamke moja mkoani kagera amemuua na kumzika mwenzie shambani walipokuwa wakifanya kazi akidai anapendwa zaidi na mume kuliko yeye. Bibi mkubwa alimuua bibi mdogo na muuaji anashkiliwa na polisi.

Source ITV habari ya saa tano usiku.
 
Vyombo vya habari vinakosea sana, ITV wanasema mke mwenza ilhali wote ni wakristo( Wa Yesu) na Hakuna ndoa ya mke zaidi ya mmoja ?
Wangesema Hawara wa mume ama Kimada!

Ndio maana tunasema Journalist at minimum wawe na masters of Journalism
 
Hapo ndio ndoa za mitala zinapokuwa ngumu..kuna issue moja ya mtaani nikiikumbuka nacheka sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom