Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Tukipata rais asiyeogopa ku sign hukumu za kifo itapendeza sana, kuna watu hawafai kuishiHii haikubaliki...
Duh!tukipata rais asiyeogopa ku sign hukumu za kifo itapendeza sana, kuna watu hawafai kuishi
Ni kweli,ila sio kila wakati unakuwa una makosa,wengine wanabambikiwa makosa wakati mwingine,kwahiyo unajikuta una hukumiwa pasipo hatia,hivyo likikukuta hilo huwezi kutamani uwepo wa hiyo hukumu...tukipata rais asiyeogopa ku sign hukumu za kifo itapendeza sana, kuna watu hawafai kuishi
Ndio mkuu, sasa mtu anambaka mtoto then anamlawiti na hatimae anamuua mtoto !!!Duh!
Umesema kweli mkuu, lakini wengine wanakili wenyewe mfano wale jamaa wa kule iringa waliuwa watoto na kukiriNi kweli,ila sio kila wakati unakuwa una makosa,wengine wanabambikiwa makosa wakati mwingine,kwahiyo unajikuta una hukumiwa pasipo hatia,hivyo likikukuta hilo huwezi kutamani uwepo wa hiyo hukumu...
Ukatiri usiofaa kabisa.ndio mkuu, sasa mtu anambaka mtoto then anamlawiti na hatimae anamuua mtoto !!!
Ndio maana hakimu au jaji anatakiwa awe makini sana.Kama ningekuwa jaji ningenyonga watu wengi sana
Wengine wagonjwa wa akili.....Na hukumu ya kifo ni Barbaric.Death is innevitable na hakuna ajuae kama huko upande wa pili kuna afadhali au msoto.Some times watu kama hawa ni kuwafunga maisha,Bakora 2 asubuhi na mbili jioni kila siku,na kazi ngumu.Mtazamo wangu tu ila Ukweli ni kwamba As a parent nikimbamba NitamuuaNi kweli,ila sio kila wakati unakuwa una makosa,wengine wanabambikiwa makosa wakati mwingine,kwahiyo unajikuta una hukumiwa pasipo hatia,hivyo likikukuta hilo huwezi kutamani uwepo wa hiyo hukumu...
Na wewe utaua?Wengine wagonjwa wa akili.....Na hukumu ya kifo ni Barbaric.Death is innevitable na hakuna ajuae kama huko upande wa pili kuna afadhali au msoto.Some times watu kama hawa ni kuwafunga maisha,Bakora 2 asubuhi na mbili jioni kila siku,Na Kazi Ngumu.Mtazamo wangu tu ila Ukweli ni kwamba As a parent nikimbamba Nitamuua
Eh.Wahaya mumisha anza kurithi tabia za wanyakusya,,wahehe,na wakinga kulala na watoto wadogo ili muwe matajiri eehhh.
Hivi hapa Bongoland kuna forensic science dpt? Au unataka kuleta mambo ya mamtoni?1. Chukueni sperms zilizopo kwa dogo.
2. Pima DNA.
3. Tafuta suspects wote.
4. Compare.
5. Atakae patikana analipa gharama zote.
Huu uchafu hauvumilikoi.