kagera msimamiz wa uchaguz atoweka na vifaa

kagera msimamiz wa uchaguz atoweka na vifaa

jipange

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
209
Reaction score
44
Habari toka kagera Kashai msimamiz hajafika na yupo na vifaa vya kupiga kura.

Hii ni hatare.

Source itv.
 
na hapatikani hata simu zake, ila wamanchi wamesema hawatoki kituoni
 
Inawezekana bado hajamaliza kuwaasaidia kuwawekea tick. Wavute subira ataonekana
 
Subilini tunaendelea kuweka tiki , kwa sasa tumefikia tiki elfu 1500 na lengo ni tiki 4000 waambie wavute subira atakuja
 
Back
Top Bottom