Kagera: Kangi Lugola akunjua makucha, amshusha cheo bosi wa zima moto

Wakati anapewa wizara mh lugola raisi aliongea madudu mengi yaliyofanywa na Ex minister anatumia mbinu zile ambazo raisi aliona mwigulu alikua hafanyi moja wapo ni hili la kushusha vyeo kazi imeaanza
 
Ilikuwa ni busara kuwaelekeza anachotaka kifanyike
La sivyo atafukuza wengi na kazi hazitafanyika
Kufukuza na kushusha vyeo havitasaidia ila awape mwongozo and if they can't deliver afukuze
 
Nakumbuka yule kamanda wa zimamoto Kagera alieleza ubovu wa magari ya zimamoto Kagera. Sasa hapo kosa liko wapi? Ama ana maana magari yalikuwa mabovu na yeye hajatoa taarifa? He hilo Waziri amelithibitisha? Sasa huku kukurupuka kote kwa nini? Hapo Rais tayari ameshaingia chaka.
 
Back
Top Bottom