Kama Mukoko[emoji16]Pole kwa wafiwa.
But aliyeonekana kwenye hiyo picha [emoji119][emoji119] kweli reporter
🤣🤣🤣🤣🤣 Audax Mtiganzi wa ITVKama Mukoko[emoji16]
In fact kifo cha moto hakina mateso. Kabla uungue unakuwa umezimia kwa sababu ya moshi.Dah pole yake.
Kafa kifo cha mateso sana , moto? Nikiunguaga tu na pasi inauma vile au ukanyage bahati mbaya kimkaa cha moto shughuli unaipata.
Apumzike kwa amani.
Ajali zitokanazo na moto zimetamalaki mwezi huu. Jeshi la Zimamoto lijipange kutoa elimu kuhusu kupambana na moto katika makazi ya watu.
Moto ni hatari muda mwingine wazima moto huwa wanateketea na moto hatuna vifaa vya kisasa vya kupambana na moto na majengo mengi hayana vile vifaa vya kutoa taarifa ya moto hasa hotel,shule na masoko ilitakiwa viwepo na majengo marefu hilo Bunge tuu halina vifaa vya kisasa vya kutoa taarifa ndio tuzungumzie mtaani...Elimu ya moto ni pana sana sio ujanja ujanjaElimu ya moto iliyitolewa kkoo bado haijawafikia wengi eeh
“Marehemu alikuwa ni kati ya watu watano ambao walinusurika kifo baada ya kujiokoa na moto huo.”marehemu huyo alikuwa ni mmoja wa watu watano walikuwa wamefikia kwenye nyumba hiyo ya wageni ambao walinusurika kifo baada ya kujiokoa kufuatia moto huo.