Kagasheki naye atoa ushuz mbele ya pinda

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
eti watu wa kagera walitegemea hoja za namna ya kuboresha maisha yao (kutoka kwa maandamano ya CDM), badala yake wakaambulia matusi na kejeli tu.

je, hii ni kweli?


chanzo: chanel 10
 
 
Hayo mabilioni yanayofisadiwa na mabosi wa Pinda na Kagasheki (Read: RA, EL & JK) yanayochotwa kupitia IPTL, Richmond/Dowans, EPA ya BoT kama Kagoda, Deep Green na nyinginezo) yangeboresha maisha ya watanzania kwa kutumika vizuri kugharamia huduma za kijamii kama elimu, afya, maji, barabara, umeme nk.
 
 
 
Kagasheki alipomaliza Form IV Kahororo Sec ni wanafunzi wawili tu walioshindwa kwenda High School, bahati nzuri mtihani ulifutwa na kurudiwa akashindwa mmoja tu ambaye leo ni Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Kagasheki sioni ajabu kama amezungumza pumba ni kawaida yake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…