Kaganda awapiga mkwara polisi, asema atawamaliza wote wanaotishia watu bunduki wakiomba rushwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Susan Kaganda amechukizwa na kukemea vikali baadhi ya askari wa jeshi la polisi wanaobambikizia raia makosa ili kupewa rushwa nakusema hatowafumbia macho askari wa namna hiyo kwani wanachafua sifa ya jeshi hilo.

Hapa naona tatizo sio askari kuchukua rushwa tatizo ni namna ya uchukuaji yao!! Yaani wasitumie binduki za serikali kwenye ushawishi wa kupewa rushwa.
 
polisi kiukweli wanabambikia kesi dah mpaka huzuni jamani. Nimeshuhudia sana, inauma sana mpaka unatamani usingezaliwa tz.

Tamko ametoa ila utekelazaji wake sasa.

Polisi kuweni na huruma jamani, mimi nimewasamehe sina kinyongo kz najua wengi wao hawajielewi. Utu na ubinadamu ni muhimu sana katika maisha tutapita wore.
 
Huyo madha alitakiwa aongee hayo maneno kwenye hicho kikao nakuishia humohumo kwa wao tu wakengwa,mambo yaku-expose kilichoongelewa ni ushamba wa madaraka na vyeo.Huwezi ukakuta mtu mwenye cheo cha juu TPDF anawaambia askari wake hivyo na clip ikatolewa,au kwenye TISS mambo hayo yanafanyika kiholela hivyo,kiufupi kurelease hiyo clip imefanywa vibaya sana endapo imefanywa intentionally.
 
Kwani kuna jipya hapo?
 
Back
Top Bottom