hawana kitu hawa. Chakula wanategemea kahama kuchukua mchele. Wakati kanajifanya kababe, tungefunga mpaka ukaona mziki wake. Maitaji yao wanategemea tz kwa zaidi ya 60 percent
Kama ndizi inakaa stoo miaka miwili tuone kwa mara ya kwanza rwanda. Maana wanyarwanda wanajiita waisrael kwa maana hiyo kagame ni yesu.
toa hoja basiNdo habari zenu mnazolishwa na magazeti kama Uhuru sio
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Kagame imesema kuwa wanayo akiba ya chakula kulisha watu wake kwa miaka 2. Sasa hivi wanafanya utaratibu wa kuweka virutubisho lishe. Hii ni tahadhari kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Source:BBC
Serikali yetu tukufu ya CCM tunayo cha kujifunza kutoka kwa huyu jeuri Kagame
Nyambafu. Huwezi linganisha kimkoa cha kagame na nchi kama tz. Uwe na akili wewe!Tena ni akiba ya Mchele, yaani ni Ubwabwa na Mandondo kwa kwenda mbele.
Nyambafu. Huwezi linganisha kimkoa cha kagame na nchi kama tz. Uwe na akili wewe!

Hili neno Ki mkoa huwa lakera saana. Kama ni Rwanda ni kimkoa hebu tuonesheni basi Mkoa wowote tanzania wao lingana na Rwanda kiuchumi na kimaendeleo mengine.