Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Hayo matokeo si yanaweza yakatengenezwa?Kama 98% ya wananchi wamemkubali vita itatokea wapi? Labda kama amefanya usanii.
Mkuu labda huijui vizuri UARABUNI (nadhani wako bara la Asia). Nchi zinazofanyaga uchaguzi kule nadhani ni Irani cjui na wapi nyingine (though style yao Irani ni kama Tanzania/Zanzibar, rais hua anapangwa hata kabla ya KURA)Afrika bado sana upuuzi wa aina hii huwezi kuukuta katika mabara mengine.
Kwani nkuruzinza alikubaliwa na asilimia ngapi?Kama 98% ya wananchi wamemkubali vita itatokea wapi? Labda kama amefanya usanii.
Nadhani yeye aliamua tuKwani nkuruzinza alikubaliwa na asilimia ngapi?