Kagame, Uhuru use IDs to enter Uganda

Kitu Kama hujui uliza au kaa Kimya kuliko kujifanya unajua kumbe huna idea na unachozungumza
Tanzania will and is able to stand alone in any serious issue. Nyie mna mbwelambwela huko kisha mnakuja post hapa eti tumefanya hiki or hiki kila siku...hope that you will tease us..shit..why cant u just go on with your own business!
 
Nimefurahishwa sana na hii taarifa.

Siyo kweli kwamba Tanzania inakwamisha EAC. Soko la pamoja la EAC linatamka free movement of people, labor, capital, goods, services etc. Nadhani ni jukumu la kila nchi mwanachama wa jumuiya kuhakikisha kuwa wanajumiuya wanaweza kupata hizo free movement kwa uharaka na kwa usalama zaidi.

Kwa sasa Tz hatuwezi tumia ID badala ya passport kwani hizo IDs zenyewe hatuna. Tutakapokuwa na IDs nasi tutaweza kutumia badala ya passport.
 
Nina uhakika Tanzania inakwamisha mkuu. Mwalimu wa Kenya /Uganda akija kufanya kazi anatozwa dollar 2000 uhamiaji wakat hizo nchi 3 kufanya kaz ni bure
 
Nina uhakika Tanzania inakwamisha mkuu. Mwalimu wa Kenya /Uganda akija kufanya kazi anatozwa dollar 2000 uhamiaji wakat hizo nchi 3 kufanya kaz ni bure

huyo mwalimu wa kenya au uganda ana fuata nini hapa tz!!!si tuna walimu wetu!!!
 
nakubaliana na wewe kabisa, manake matokeo ya mitihani yanaonekana ni mazuri (oooops)

matatizo ya elimu tanzania hayatatatuliwa na wageni kutoka nchi nyingine!!!tunatakiwa tuyatatue wenyewe!!!na kwa taarifa yako wengi wa hao unaowaita walimu siyo profess teachers ni watu wanaongea kwa kiingereza vizuri na ndiyo sababu wengi hawaombi permit wanajua watu wata dig vyeti qualifications zao!!!
 
ondoa tanzania na burundi sisi tupo aware kua yeyote yule eac anaetaka kuningia nchini lazima awe na passport na sio ids kwani leo tumeona uganda wameeanza kulalamika kua rwanda wameingiza wafugaji wao kibao kulisha mifugo yao kwa kwani wanatumia ids ata za mashuleni hii kali na ni janja ya rwanda na kenya kuwalazimisha other member states kuruhusu ids kwani visa zinamatatizo gani? Kiusalama ids ni ngumu kuzitrace km visa

hiyo porojo tu. Mbona wapokot wa kenya wafugaji wameingia uganda juu ya marisho kwani sasa ni kwa sababu ya ids. Porojo tupu
 
duh.!kuna watu mnakera.!kwanini usiende kwenye hizo nchi ambazo zina promote hayo maendleo na wewe uendlee.?
money stunna nmegundua kua wewe ni raia wa tz lakin sio mtz,kuna tofaut kubwa kati ya mtz na raia wa tz..

somji.nisamehe lakini niulize kwani asikubaliana na wewe sio mtz.uhuru wa maoni na kutofautiana uPo wapi.if i dont sing your song basi mie sio mkenya kama ilivyokuwa enzi za rais mStaafu moi.give me a break.Hili nimeliona hapa jf sana watz wengi cant stomach divergent ideas or any form of criticism.
 
kasome faida na malengo ya jumuiya za kiuchumi kama sadc,eac harafu urudi tena,maana si makosa yako

na aliyempa ajira ni mtz au ni kutoka space.wageni wengi wako kenya,ug,rwanda n.k baadhi hapa kenya watz.hatusemi kamwe bora afuate sheria za ajira.some pple in jf wanabore.those pple in tz are employed by tz nationals among others.some arguments are stale
 
Nimefurahishwa sana na hii taarifa.

Siyo kweli kwamba Tanzania inakwamisha EAC. Soko la pamoja la EAC linatamka free movement of people, labor, capital, goods, services etc. Nadhani ni jukumu la kila nchi mwanachama wa jumuiya kuhakikisha kuwa wanajumiuya wanaweza kupata hizo free movement kwa uharaka na kwa usalama zaidi.

Kwa sasa Tz hatuwezi tumia ID badala ya passport kwani hizo IDs zenyewe hatuna. Tutakapokuwa na IDs nasi tutaweza kutumia badala ya passport.

Kwa sasa Tz tunaweza tumia ID’s kama mbadala wa traveling passport?
 
Hivi ile collabo ya dikteta kagame,museven iliishia wapi ama baada ya Kikwete kuondoka wakaona haina maslahi kwao wakaitupilia mbali
 
Back
Top Bottom