mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 731
Mwambie huyo anaekashifu majirani awe loyal kwetu kwanza hatukumpa hiyo kazi arukie mambo ya majirani na kutuexpose kwenye mazozano ya kijinga tukaonekana wote hatutumii akili!!!
kwa akili yako wewe utakalia kubishana na watu barabarani wanaokuambia ukweli ikitokea babayako katembea uchi mtaani badala ya kutafuta vazi umkinge na aibu!!!
waulize waarabu kwa nini wanaiogopa Israel pamoja na kuwa iko katikati yao..fikiri kabla ya kuropoka kijana, maneno unayosema yatoke kichwani cyo kifuani.
kweli watusi ni janga la afrika mashariki! ukipewa ushauri umekashifiwa? kati ya kikwete na kagame aliekashifu na kumtukana mwingine ni nani? unauwezo mdogo sana wa kufikiri au ni bendera fuata kagame.
israeli imeingiaje hapo? pia kumbuka waarabu wataendelea kuwa waarabu na si wayahudi. kama watanzania tutakavyoendelea kuwa watanzania na si wanyarwanda. AIBU ILIYOJE KWA HIYO JEURI YA KAGAME NI KWA VILE RWANDA NI NDOGO KAMA ISRAELI? PROPAGANDA MUFILISI. YALE YALE UKIISHI KARIBU NA PROFESA NA WEWE UTAKUWA PROFESA BY INDUCTION! ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO, KAGAME ALIKURUPUKA NA SASA ANAJUTA ! NIKUULIZE, ALISHAWAHI KUWEWESEKA TENA TANGU LILE ONYA LA AFISA MDOGO KABISA WA TANZANIA LA "RWANDA IKUTUCHOKOZA TUTAICHAKAZA" ANGEONGEA RAISI NAFIKIRI ANGEJILETA DAR KUJISALIMISHA !
matusi hayatabadili ukweli kamwe kuhusu uhuni wa rwanda na kagame afrika mashariki bali yanzidi kudhihirisha jinsi ulivyo mufilisi sawa na bwana wako kagame .nchi hii imejaa wapumbavu watupu kwa akili yao vita inapiganwa jf..haya mmeshinda basi chagueni kikaragosi akaongoze rwanda vile mmeshamtoa kagame.
Unamjua Kagame au unamsikia tu, unadhani jeshi lake limejaa watu wenye vitambi na wavivu wa kufikiri Kama Chagonja na Mwamunyange
nchi hii imejaa wapumbavu watupu kwa akili yao vita inapiganwa jf..haya mmeshinda basi chagueni kikaragosi akaongoze rwanda vile mmeshamtoa kagame.
Kwel wa2c ma mbumbu nawewe et unajarbu kubshana na kila m2, mnajitia miungu wa2 c ndiyo
Jeshi vfaa wewe unadhan watapigana kwa mikono na mateke! We wa lin hebu angalia northkore mbona vianajesh vyake vfpi lakn motowake hakuna asiye ujua
mshauri akutume ukanegotiate na waasi wa darfur..
Sawa Chagonja! Au wewe ni yule RPC mwenye makengeza nini? Au ndio Kamuhanda?We ungerudi tu kwenu rwanda kwa mumeo kama umechoka fadhila za watanzania tupishe kaendelee kula makombo kwenu rwanda.
Kwahiyo wewe kwa akili yako JW ina vifaa na utaalamu mkubwa zaidi kuliko Rwanda siyo? Au unadhani ukubwa wa pua ndio wingi wa makamasi?Jeshi vfaa wewe unadhan watapigana kwa mikono na mateke! We wa lin hebu angalia northkore mbona vianajesh vyake vfpi lakn motowake hakuna asiye ujua
sasa kwa akili yako unailinganisha rwanda na israel? Israel is a chosen nation by GOD Himself. Rwanda ni nchi inayoongozwa na devil's agent anayefurahia kumwaga damu za watu..waulize waarabu kwa nini wanaiogopa Israel pamoja na kuwa iko katikati yao..fikiri kabla ya kuropoka kijana, maneno unayosema yatoke kichwani cyo kifuani.
wee interahamwe na huku upo kumbe unaendeleza propaganda zako.sasa kwa akili yako unailinganisha rwanda na israel? Israel is a chosen nation by GOD Himself. Rwanda ni nchi inayoongozwa na devil's agent anayefurahia kumwaga damu za watu..
wee interahamwe na huku upo kumbe unaendeleza propaganda zako.
Acha kutupotezea muda hapa rudi msituni ukawasaidie wenzako kuiba mihogo ya wacongo,na zile pesa za interahamwe ulizokula kusambaza sumu lazima ulipe mshamba wewe!Utaita majina yote unayojua, utatukana matusi yote unayojua. Hunipunguzii chochote! Ila hayo matusi yako yanaonyesha umeishiwa cha kusema baada ya kuwaambieni ukweli. At GOD's own time ALL will be unveiled. Kwa taarifa yko me sio mnyarwanda..am a pure Tanzanian. Endelea kupiga kelele tu hapo. Tumewashika patamu!
Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
it seems kagame's childhood missed total parental care!!! He sounds like he grew up in the midst of culprits