Kagame sends out warning to dissenting RPF cadres

wakupuliza

Mkuu, unafanya kazi Idara ya Uhamiaji - Wizara ya Mambo ya Ndani?
Usim-intimidate Jmali but watetezi wa Kagame wajibu hoja zake. Wengine
tunafanya research kuhusu source ya Hutu-tutsi conflict ili kujua
ukweli na
pia chanzo cha migogoro endelevu ktk eneo la maziwa makuu. Sasa kama
watetezi wa PK hawajibu hoja za jmali na kutoa matusi badala ya
kuzijibu, inatufanya tuamini hoja zake bila kujali yeye ni m-tz au
hapana. Majibu ya watetezi wa PK huwa ni matusi, jaziba, visasi, nk.
hali inayo-reflect Kagame's behaviour ndani yao.
Unakumbuka Mama Salma Kikwete walimwita Mhutu kisa JK kawashauri to negotiate with FDLR? Watutsi wakikushindwa
hoja zako wanakuita mhutu. Mkuu usiangukie kwenye mtego wao!

NB: Jmali endelea kutuletea nondo kuhusu Rwanda, watetezi wa Pk walete zao pia tuzipime!
cc: jmali, koba, murutongore, nk.
 
Last edited by a moderator:
The interests of a nation or public should prevail. Wabinafsi na waroho washughulikiwe vizuri

sijui kama unajua tofauti ya nchi/public na chama cha siasa, RPF ni chama cha siasa kama zilivyo chadema au ccm apa kwetu so kuhama hakutakiwi kuendane na vitisho, afrika demokrasia bado sana hii inaonyesha huyu jamaa kuachia nchi kwa njia ya demokrasia ni ndoto!!!
 
BekaNurdin

Mkuu regardless ninafanya kazi,hebu fanya analysis ndogo tu chek ni post ngap za mcHz zinaongelea khs Tanzania na ni ngap alizopost khs Rwanda!cjawah kuona mtu anayefeel sympathy kwa nchi ya jiran yake kuliko yake mwmyw Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu regardless ninafanya kazi,hebu fanya analysis ndogo tu chek ni post ngap za mcHz zinaongelea khs Tanzania na ni ngap alizopost khs Rwanda!cjawah kuona mtu anayefeel sympathy kwa nchi ya jiran yake kuliko yake mwmyw Mkuu!

tatizo lako ni nini? si ujibu hoja?
 
Mkuu Sina tatzo kabsa na hayo yote uliyosema khs kagame na siasa zake!tatzo ni huyu Kaka/dada jmali kuzuga yy ni mbongo na anaongea views zake kama mbongo wkt yy ni hutu extremist kabsaa no doubt kweny hio k2 kabsaa mkuu!

1. Ulinituhumu kuwa mimi ni MNYARWANDA nikakuambia kuwa my first thread kuhusu Rwanda humu JF nimeipost january 2014 (this year), that is 4 YEARS AFTER I JOINED JF! Nimekuonyesha hiyo thread wewe "mtanzania", ukagoma kuchangia chochote. Kitu ambacho ni strange kwa sababu the thread was strongly anti-Rwandan. yani "mnyarwanda" mimi niwe anti-rwanda, halafu wewe "mtanzania" uwe pro-Rwanda?

2. Sasa hivi ume-progress kutoka kuniita MNYARWANDA sasa umenipachika UHUTU! Hili tayari linakuelezea wewe ni mtu wa aina gani!
 
BekaNurdin

Ni kweli mkuu umeandika vema. kuna comment moja hata mimi nilisema, hawa jamaa wakija hapa bongo mbona watawaita karibia waTZ wote ni hutu na Interaamwe? yaani wenyewe ukiwafatilia ngao yao ni we nigenocider, we interaamwe, we hutu. Basiiii hawana hoja za msingi. Jamani tuleteeni nondo tujue. Wengine tulikuwa tumelala hatujui mambo yanavyoendelea huko JMAl MUKAMASIMBA murutongore
 
Last edited by a moderator:
Mkuu regardless ninafanya kazi,hebu fanya analysis ndogo tu chek ni post ngap za mcHz zinaongelea khs Tanzania na ni ngap alizopost khs Rwanda!cjawah kuona mtu anayefeel sympathy kwa nchi ya jiran yake kuliko yake mwmyw Mkuu!

Jibu hoja wewe, hacha kuongea blabla hapa. Umeshaambiwa hapa ni hoja kwa hoja. ni vigumu sana hapa kumuelewa mtu ni TZ au la. Kwahiyo kinachomata ni hoja zetu.
 
Jibu hoja wewe, hacha kuongea blabla hapa. Umeshaambiwa hapa ni hoja kwa hoja. ni vigumu sana hapa kumuelewa mtu ni TZ au la. Kwahiyo kinachomata ni hoja zetu.
:

Hahah! then kwanini anaye comment positively on Kagame anabatizwa u Tusi,mhamiaji haramu etc why not a vice versa.

labda namimi niongelee point to point ambazo Jean Marie aka jMali ame outline...

1:“Let no one think that they are more righteous and can put RPF in the right place,” President Kagame warned. “If they ever think they can do it, they better do it within RPF.”

Hapo kwenye red, what is wrong with that?
You can`t put a political party into the right place unless you are with in it, other wise anzisha chama chako ukipata ridhaa ya wananchi watachagua ilani ya chama chako wewe ndio uongoze nchi.

“But if you think you can find your right place while outside RPF, it is impossible.
What else do you think a leader of the political party could have told the members, kwamba wa join vyama vya upinzani?
Kumbuka kila chama cha siasa Rwanda kiko represented kwenye serikali, and this was RPF internal meeting.

“RPF knows the best way to put people in their right place. For those of you who are still looking for your right place, I promise you we will find your right place for you, but not a single person is going to put RPF in its right place because it is already in the right place.”

RPF kama chama cha siasa kina ilani yake, by which all members believe it to be the right path for the country:
it is up to the public to choose which path is better for them:


Are you not tired?? do you think this will help anything hhhaaaha!!
Why so much interest :
On the other hand Rwandans don`t care or give a damn to those shit zitabaki hukohuko..
 
Talkandtalk

Very nice analysis but you forget that: wanaotoka RPF wanaandamwa kwa kuuawa, kupotezwa, kuwekwa jela etc, na most of them wako nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa. Hebu taja watu ambao wameondoka RPF na wanafanya siasa kwa amani nchini Rwanda.
Hata hayo maneno hapo walengwa ni hao kina mama ambao wanaongea sana, waume zao tayari wamewekwa ndani. Pure intimidation.

cc: JustDoItNow
 
Last edited by a moderator:

Consumed with hatred mpaka Jumapili...hata mwenyezi mungu alipumzika siku kama ya leo. Nenda kanisani ukatubu dhambi zako halafu urudi hapa kesho. Leo ni siku ya mungu.
 
Consumed with hatred mpaka Jumapili...hata mwenyezi mungu alipumzika siku kama ya leo. Nenda kanisani ukatubu dhambi zako halafu urudi hapa kesho. Leo ni siku ya mungu.

wewe ndio ukatubu kwa kusingizia watu vitu ambavyo hawavijui. Mwenzio Commanche alidanganya kuwa FDLR imeundwa na watu walioandika Hutu manifesto, nimemchallenge awataje angalau mmoja tu, jamaa kaingia mitini. Sasa hebu tazama ilivyo hatari. Wewe na huyu mwenzio mnahukumu watu wangapi based on distorted facts kama hizo?
 
Last edited by a moderator:


Amekujibu vizuri tu. Kama kawaida yako, badala ya kujibu hoja una "cherry pick" what you want to believe lakini you will never succeed. At the end of it all utakimbia huu ukumbi.
 
Last edited by a moderator:
Amekujibu vizuri tu. Kama kawaida yako, badala ya kujibu hoja una "cherry pick" what you want to believe lakini you will never succeed. At the end of it all utakimbia huu ukumbi.

please hebu link that answer here
 
jMali

mkuu nenda Rwanda kwenu kajenge taifa lako acha kupiga mboyoyo hum!
 
Last edited by a moderator:
jMali hahaha unachekesha sana. Wapi nimesema Hutu Manifesto was authored by FDLR? Unapenda kubadilisha maneno. Nilichomaanisha ni kuwa that evil document was instrumental in propagating the genocide against the Tutsi. Nafurahi watu humu jamvini wameshaanza kukushtukia kuwa wewe ni genocidaire FDLR sympathizer na sitashangaa ukiwa ni operative.
Chuki yako dhidi ya Kagame inasikitisha. Nikuulize my extremist hutu friend; hivi Tutsi na Kagame walikufanya nini wewe na familia yako? Why so much hatred? Umejaribu bila mafanikio kuonyesha kuwa kila Tutsi ni RPF na pro Kagame wakati unajua si kweli. Kesho utasema kina Col Kabuye ni Hutu. Acha chuki ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…