Kagame sends out warning to dissenting RPF cadres


sina hata shaka hata kuzaliwa umezaliwa bongo, baba yako anaweza kuwa kazaliwa bongo vile vile. Karegeya kazaliwa uganda was he Ugandan? Kagame alikuwa Uganda since he was 3 years old, was he Ugandan? kuwapo kwako kitambo hakubadilishi kitu.
Wewe kwanini ujadili uraia wa mtu badala ya comment zake?
 

kwani nikiiponda nchi yangu ugenini wewe "mtanzania" shida yako nini?
 

Hahah mkuu tulia twende taratibu tu panik haisaidii hapa,hayo uliyo ya quote yote ni irrelevant kabsaa na ninachokwambia ni hik,point yangu ya msingi hapa mkuu jirudie nyumban ukajenge taifa lako usikalie kuponda kwenu wkt uko ugenn,hata uki copy threads millions haitasaidia kubadlisha ukwel!!
 
Last edited by a moderator:

hayo niliyoquote ni timeline ya mazungumzo yetu ili kila mtu aone jinsi ambavyo mwizi anajaribu kumkimbiza mwenye mali!
 
Hahah nan ni nan mkuu,we ni mwiz au mwny Mali?

hata jina langu lenyewe tayari lina "mali", la kwako "wa kupuliza", linalopulizwa huwa ni bangi! kwa hiyo hapo ni obvious nani mwenye mali na nani kibaka mpuliza bangi.:A S wink:
 
hata jina langu lenyewe tayari lina "mali", la kwako "wa kupuliza", linalopulizwa huwa ni bangi! kwa hiyo hapo ni obvious nani mwenye mali na nani kibaka mpuliza bangi.:A S wink:

Hahah naona unaponda majina mkuu,kwa hiyo mtu aliyeitwa mwaitakotako mwaipumbuje na wazaz wake walikuwa wanamtukana kwa kumuita hlo jina au walimaanisha nn mkuu?
 
hata jina langu lenyewe tayari lina "mali", la kwako "wa kupuliza", linalopulizwa huwa ni bangi! kwa hiyo hapo ni obvious nani mwenye mali na nani kibaka mpuliza bangi.:A S wink:

Hahah naona Kama kawaida yako unapga chenga nyingi,vp hujapata thread ya Ku copy tena hapa kutuma ma evidence mkuu wang,hahah!!
 
Hahah naona unaponda majina mkuu,kwa hiyo mtu aliyeitwa mwaitakotako mwaipumbuje na wazaz wake walikuwa wanamtukana kwa kumuita hlo jina au walimaanisha nn mkuu?

hao ni wanyakyusa, wewe jina lako ni descriptive.
 
Hahah naona Kama kawaida yako unapga chenga nyingi,vp hujapata thread ya Ku copy tena hapa kutuma ma evidence mkuu wang,hahah!!

wewe ndio umesurrender "no more questions" remember?
 
hao ni wanyakyusa, wewe jina lako ni descriptive.

Hahah sawa mkuu nmekusoma,lkn hilo jina lako reflects nothing kwny post zako zinazohusu nchi yako,kwann mkuu usimuombe mod. aweke jukwaa la Rwanda mkuu Kama ambavo lilivo jukwaa la Kenya mkuu Wang,nadhan wakina jmali,koba,mukambasimba mtakuwa happy kuchangia Kama lawmaina&company anavochangia la kwao Kenya mkuu!
 

what's your problem hili si tayari jukwaa la kimataifa? is Rwanda not international? Halafu nimekuambia unipe maoni yako kutokana na that thread i posted, vipi what are your views on that?
 
wewe ndio umesurrender "no more questions" remember?[/QUOTE
Mkuu vp siasa za Tanzania huwa huna nazo muda saaana nn, mbna huwa huaanzishi thread za Mara kwa Mara Kama ilivo kwa Rwanda au your mother country bro/madam?
 
I think the guy wants to create an impression that nobody is close to him. So those who think they know well Kagame, they end up struggling in the court battles.
 
 
Hahah nan ni nan mkuu,we ni mwiz au mwny Mali?

Mkuu, kwa nini tusijadili hoja za msingi kwenye thread? Kwa nini Kagame:
1. Anaogopa wanasiasa wanaoihama RPF kwenda upinzani?
2. Anaogopa kukosolewa?
3. Akikosolewa anatumia vitisho kunyamazisha opponents?
4. Tumweleweje?

In addition Kagame's approach towards his opponents is BIIA.
B- he Buys them (anawahonga mapesa ili kuwa nao karibu na kuwafanya vibaraka wake)
I- Intimidate
I- Indictment (normally false charges)
A-Assassination (if B-I-I fails he assassinates them using his death squads lead by Jack Nziza- chief and master killer).

Swali:Je Kagame anafanya haya akitegemea hatima yake mwenyewe na nchi yake (Rwanda) ni nini?

Asante!

CC: Murutongore, Koba, Jmali, nk.
 

Mkuu Sina tatzo kabsa na hayo yote uliyosema khs kagame na siasa zake!tatzo ni huyu Kaka/dada jmali kuzuga yy ni mbongo na anaongea views zake kama mbongo wkt yy ni hutu extremist kabsaa no doubt kweny hio k2 kabsaa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…