mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Hahaha. Kagame mzee wa visasi vya kipuuzi. Wakati anavamia Rwanda, Habyarimana aliomba msaada wa vikosi vya kijeshi UN. UN wakaenda kumuomba Marekani. Kumbe Marekani alikuwa upande wa Kagame, Marekani akasema eti "hana hela", ndio UN wakaenda kumuomba Ufaransa.
Ufaransa akaleta vikosi vikapiga operesheni turquoise, hii operation ndio iliyofanikisha wale makamanda waliobaki wakimbilie DRC, wale makamanda ndio wakaunda FDLR.
Sasa huyu PK ndio akaamua kuanzisha chuki na Ufaransa, kaamua kukifuta Kifaransa etc., cha ajabu operesheni ilifanyika chini ya usimamizi wa UN. Sasa kwa nini hajifuti UN kama North Korea?
Same thing kwetu, Tanzania imepeleka majeshi DRC kupambana na M23, ambao kila mtu anajua ni wanajeshi wake yeye. Yeye anatishia kutu-hit Watanzania wakati majeshi yale tulipeleka chini ya UN...
cc: JustDoItNow
We ngoja akae kwenye target yetu. tutamtandika kama toto jinga.
Ana kiburi cha kitoto. Alikuwa anatumia genocide incidence dunia imuonee huruma. Sasa hivi wameshamshitukia.
Na kusaidiwa na basha wenu France mkaishia kuchapwa na kukimbizwa kama mbwa koko,coward interahamwe badala ya kupigana vita na wanaume wenzenu mkaingilia kuua watoto na wanawake,ona sasa mmebaki kubweka tuu kwenye forums za watu..na akili yako fupi unajifanya Mtanzania ili upate support kueneza sumu zenu yani hasara tupu.
1. Operesheni iliyofanywa na ufaransa ilikuwa kwa mandate ya UN na sio Ufaransa kama ufaransa. Isingekuwa ufaransa UN ingeomba nchi nyingine yoyote ile, lakini vikosi vilikuwa lazima vipelekwe. Haiingii akilini kuwa any country ambayo ingepeleka vikosi vyake iitwe interahamwe supporter wakati mandate ni ya UN sio ya nchi kama nchi. Why not blame UN instead of France?
2. Kwa bahati mbaya sijadiliani na watu wanaotumia matusi badala ya hoja, so this is my last reply to you until i forget which ID you are using.

human rights issue huwa msumari sana kwa PK......!!! why?
Ni wewe kibao kata au ni mwingine?hata sentence iliyonyooka huwezi kuandika sijui unatafuta nini huku
Hahaha. Kagame mzee wa visasi vya kipuuzi. Wakati anavamia Rwanda, Habyarimana aliomba msaada wa vikosi vya kijeshi UN. UN wakaenda kumuomba Marekani. Kumbe Marekani alikuwa upande wa Kagame, Marekani akasema eti "hana hela", ndio UN wakaenda kumuomba Ufaransa.
Ufaransa akaleta vikosi vikapiga operesheni turquoise, hii operation ndio iliyofanikisha wale makamanda waliobaki wakimbilie DRC, wale makamanda ndio wakaunda FDLR.
Sasa huyu PK ndio akaamua kuanzisha chuki na Ufaransa, kaamua kukifuta Kifaransa etc., cha ajabu operesheni ilifanyika chini ya usimamizi wa UN. Sasa kwa nini hajifuti UN kama North Korea?
Same thing kwetu, Tanzania imepeleka majeshi DRC kupambana na M23, ambao kila mtu anajua ni wanajeshi wake yeye. Yeye anatishia kutu-hit Watanzania wakati majeshi yale tulipeleka chini ya UN...
cc: JustDoItNow
Mimi sioni cha ajabu Kagame alichokisema. I would have done the same way or respond that letter with even worse content in it.
Waafrica tuna hadhi yetu baaana.
Hadhi gani mkuu? Mimi naungana na Kagame kwa kuwa jamaa hata kama ni muuaji ni diplomat. Sidhani kama ni busara kumkamata jamaa, naona ni racism na uoga tu. Kama hiyo ni sababu Kagame ameenda mara angapi UK? Yeye ndio aliyeamuru waende DRC kwanini asikamatwe yeye?
It is pure racism, Ocampo justice....nothing to do with human rights. Unless wakamatwe kwa kuhusika na mauaji ya wahispania, sina uhakika kama jamaa waliuawa wahispania DRC.
1. Karake sio diplomat. As far as i know hana kinga yoyote ile. Kagame ni rais hivyo ana kinga ya kutokukamatwa, na yeye Kagame yumo kwenye kesi hiyo ya Spain, yupo kwenye kesi nyingine Ufaransa, na marekani. Kinachomlinda ni hadhi ya urais ndio maana hataki kuachia madaraka kwani akiwa raia wa kawaida lazima akamatwe.
2. Moja la shitaka ni kuwaua wahispania nchini Rwanda. wahispania hawa waliuawa kwa sababu walipiga picha za mauaji ya askari wa RPF waliokuwa chini ya Gen. Karake. Hata hivyo upo mkataba wa kimataifa wa kuzuia genocide na uhalifu wa kivita, chini ya mkataba huu mahakama yoyote ikishtaki ni lazima mtuhumiwa apelekwe huko anakoshitakiwa. Hii ndio maana Rwanda inashitaki watu wengi kwa genocide na wanarudishwa Rwanda kujibu mashtaka. Hivyo hata asingeua waspain, kwa yale mashitaka mengine chini ya mkataba huu ni lazima angepelekwa tu.
Depends on the definition of a diplomat........