Kagame on M23-They are bringing hell on us

Kagame on M23-They are bringing hell on us

wapiga kelele wa jamii wenye uwezo wa kucheza u-tube pekee ndo inawahusu...hawa wa MB za kujirusha imekula kwenu....
 
we need to be careful with the love from giant nations to our nations....
 
kodi ya simcard inatushinda seuse you tube video?!

pole...sana kaka kama mtu hawezi ku-reason kuwa annual tax ya SIM card ni 1200% ya selling price ya hiyo chip utawezaje kuamini .......duh naishia hapa
 
we need to be careful with the love from giant nations to our nations....

hakuna love ni maslahi tu, tatizo viongozi wetu waafrica wanaburuzwa tu hatujui mbele wala nyuma. umefika wakati wa waafrika wenyewe kuamua kuhusu maliasili zao na viongozi wao.
 
kweli time is due that we need to be left to decide on our issues....big fish intervention is something to take with a pinch of salt....
 
​Kagame maji shingoni.....watu wameamua kumuondolea uvivu imebidi aongee teehteeh....
 
​Kagame maji shingoni.....watu wameamua kumuondolea uvivu imebidi aongee teehteeh....

Mkuu Kagame ni mpuuzi sana, anahatarisha maisha ya watusi. Ni bora watusi wawe adui wa wahutu, kuliko kuwafanywa wawe adui wa nchi Congo nzima, Tanzania nzima na wengine. I wonder where is the base of his superiority complex and belief that only he is smart man all others are eegnorant, stupi.., do not know a thing or barbarians. Kila lenye mwanzo lina mwisho, It is a fact that mwisho wa Kagame umeanza, na ajabu ni kuwa ana uspeed up mwenyewe.....
 
pamoja na kiburi chake lakini ni wazi maji yameanza kumzidi.
The Hague inanukia na anavyoiponda wanamsubiri kwa hamu.
 
Back
Top Bottom