kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya kijeshi wanasema alikua mtu mwenye mtazamo wa siasa za kimbari zaidi.
Katika mafunzo kikundi chao chini ya museveni kilikua tofaoti na kile cha waganda wengine wenye asili ya kutoka sehemu zingine za uganda. Wao wenye asili ya mbari ya kihima watutsi na wanyankole wakiongozwa na museveni walijitenga na kikundi chao kupewa mafunzo semu tofauti na kile cha waganda wengine.
Museveni alijulikana akiwa chuo kikuu dar es salaam kama mwenye fikra za kijamaa. Sidhani kagame aliwahi kuupenda ujamaa au hata kuuelewa. Kiufupi ninavyohisi kwamba ameenda kwenye mapigano kwa sababu za tofauti za kimbari zilizomsababisha kua mkimbizi uganda.
Kwa hivyo Kagame ni mpiganaji aliyeenda Rwanda kupigania mbari yake. Alienda akiwa na kisasi cha mauaji ya watutsi hadi wakakimbia kua wakimbizi.. mwaka 1959. Ukisikiliza akiongea utajua ni mwenye itikadi kali ya kimbari. Wao watutsi wanaamini kwamba watutsi ni watawala. Ni wenye falme za kiasili. Wao ni watu bora na wenye akili kuliko wahutu wa mbari ya kibantu.
Tangu Kagame na kundi lake waingie madarakani wameweka utawala wa wachache rwanda na wamevamia kwa kushirikiana na wanyarwanda wa congo wa mbari ya kitutsi nchi hiyo mara kadha wakiwa na lengo la kuweka utawala wa mbari yao kinshasa. Katika azma yao kutawala congo mbari yao wameshika maeneo tajiri kwa madini katika majimbo ya kivu na wanaiba madini ya nchi hiyo na kuuza nje kupitia rwanda.