Kagame na Museveni wanaihujumu DRC

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,033
2,000
Wanaofuatilia kwa karibu shida ya mashariki ya DRC bila shaka mtaona kwamba shida ya DRC inatokana na Watutsi kupenda madaraka. Jadi yao ya dharau na ubaguzi na kutaka kutawala imekua inawaletea matatizo na mbari zingine hata kuwaletea hatari kama kule rwanda walipouliwa kikatili kwa wingi kwa kuvuruga amani kwa kuanzisha vita ili wachukue utawala.
Baada ya Watutsi kufanikiwa kuchukua madaraka rwanda kwa kusaidiwa na wenzao uganda hawaishi mipango kupenda ukuu. Japo ni wachache kabisa katika kila nchi ya maziwa makuu wanataka urais na kila cheo washike wao.
Vurugu za kwanza kule DRC wakongo wakakubali kuridhia matakwa yao kwa kiasi ili mradi kuwepo amani.
Licha ya kuwepo katiba iliyoridhiwa na wananchi wa DRC hawa watu kila kitu kwao ni upuuzi tu kama hawajashika usukani. Na wakishika tu usukani abiria wa kuketi ni wao tu wengine mnasimama au kuning'inia mlangoni na wengi mnaachwa kituoni.
Sasa hivi tunaona ujanja wa kagame na museveni kuhadaa ulimwengu na mazungumzo ya m23 baada ya kuona sadc inataka kupeleka wanajeshi ili kuwadhibiti na kuwakung'uta hao ndugu zao wa m23.
Sio siri kwamba rwanda na uganda ndio wanye jeshi la m23. Wanaungwa mkono na mataifa na makampuni yanayopora madini Congo. Watutsi kwa kupenda madaraka ushirikiano na hao waporaji ni faida. Watapata wanachokipenda 'UKUU' na kuponea ngawira kutokana na uporaji.
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,281
2,000
Achana na Kagame, kama wewe ni mtanzania kwanza shughulikia matatizo yaliyoko nchini mwako yanayohusu uporaji wa rasilimali za watanzania unaofanywa na "mafisadi viwembe".

Tuhuma zote hizo unazomlundikia Kagame hakuna hata moja ambayo imeiwekea ushahidi wa maana !
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,089
1,225
Wakimaliza DRC watakuja Tanzania maana kuna mali ya ubwete ikichezewa na mabwege wasiojua kutumia mamlaka vizuri.
 

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,033
2,000
Achana na Kagame, kama wewe ni mtanzania kwanza shughulikia matatizo yaliyoko nchini mwako yanayohusu uporaji wa rasilimali za watanzania unaofanywa na "mafisadi viwembe".

Tuhuma zote hizo unazomlundikia Kagame hakuna hata moja ambayo imeiwekea ushahidi wa maana !
Ushahidi uko wazi ila kwa watu ambao uongo ndio kweli na wamejaa majigambo na dharau ushahidi kwao sio lolote la maana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom