Mapango wa UN kupeleka
Drone Tatu kwa ajiri ya kufuatilia nyendo zote katika mpaka wa rwanda na
Congo umeipa wakati Mugumu serikali ya Rwanda.
kiasi cha Ujumbe wao UN kupinga moja kwa moja suala hili.
Rwanda wanapinga kwa hoja kuwa Drone hizo zitakua zinachunguza hadi
ndani ya Rwanda.
Wakati huo huo. kamati ya usalama ya SADC troika inakutana na Kabila
kupnga namna ya kuwaangamiza M23 tena Zuma Mwenyewe akihudhuria.
Pia miongoni mwa mapendekezo ya Un ni kuweka Vikosi vipya vya kijeshi
mpakani mwa Rwanda na Congo.
My take.
SADC watamujaza kichwa kabila agome kujadiliana na M23 ili wapate sababu
ya kuwafyeka.
kwa hiyo unaenjoy anavyofadhili uhalifu kule DRC, ndivyo unavyomaanisha sio?Kagame yupo sahihi, haya mambo ya kuruhusu ndege za upelelezi ziruke kwenye anga lako ni mambo ya kipuuz....
kwa
hiyo unaenjoy anavyofadhili uhalifu kule DRC, ndivyo unavyomaanisha
sio?
acha tu zizunguke ziwatie adabu wahalifu
Mkuu mpaka sasa hakuna proof yoyote juu ya Rwanda kusapoti hao jamaa. zimebaka propaganda tu.
Je, unaweza kufikiria madhara ya zile silaha zilizokuwa zinapitishwa
ziwa victoria eneo la mwanza?? okay, hizo silaha zimeenda wapi? kwa nini
tz hainyooshewi kidole? sometimes udhaifu wa serikali yetu tena kwenye mambo ya msingi yanasababisha madhara upande mwingine...
Wanyarwanda wapende au wasipende, lazima matakwa ya wakubwa wa Dunia yatekelezwe. Walikuwepo jeuri kuliko Kagame, lakini walinywea na wengine hatunao tena.
Kagame ni mhalifu wa kivita. kagame ni muuaji.Ushaidi unaoutaka wewe sijui ni wa namna gani. Maana kagame anadhani yeye tu ndiye mwenye akili kuliko kila mtu hapa Africa. Na amekuwa jeuri juu ya watu kama nyie mnaotaka kagame apewe Ushahidi.
Kagame anatakiwa akamatwe, afungwe na ushahidi utapelekwa mahakamani. Ana damu za wengi mikononi mwake. Anafadhili mipango mingi sana ya kujenga himaya ya watusi katika maeneo ya maziwa makuu achilia mbali miradi yake ya kuchimba madini nchini Kongo akitumia majeshi yake ya msituni. He kill to survive and he survive on human blood! He is a monster.
Kagame
ni mhalifu wa kivita.
kagame ni muuaji.Ushaidi unaoutaka wewe sijui ni wa namna gani. Maana
kagame anadhani yeye tu ndiye mwenye akili kuliko kila mtu hapa Africa.
Na amekuwa jeuri juu ya watu kama nyie mnaotaka kagame apewe Ushahidi.
Kagame anatakiwa akamatwe, afungwe na ushahidi utapelekwa mahakamani.
Ana damu za wengi mikononi mwake. Anafadhili mipango mingi sana ya
kujenga himaya ya watusi katika maeneo ya maziwa makuu achilia mbali
miradi yake ya kuchimba madini nchini Kongo akitumia majeshi yake ya
msituni. He kill to survive and he survive on human blood! He is a
monster.
Kagame kwisha kazi
Nakataa kama ameshatubu! kwani ndiyo kwanza anahangaika na kupanua mipaka ya influence yake! Hilo la maendeleo nlikubali; lakini kwa gharama yaa wizi wa dhahabu na mbao toka kwa jirani yake DRC, hiyo ni sawa?Kuwa Kagame ni muuaji, mhalifu madai haya yana ukweli. Lakini kwa sasa ametubu dhambi hizo. Anaelekeza nguvu zake katika kujenga nchi ya Rwanda na kuwainua wanyarwanda. Anatetea maslahi ya nchi yake. Kutofautiana misimamo na nchi zinazoitwa wakubwa wa dunia ndio kisingizio cha kutaka "kumpiga ngwala" na waihujumu Rwanda.
WaLIWEKWA MADARAKANI na taifa kubwa na sasa hivi wanajidai kukaidi maagizo ya taifa kubwa. Kule SADC kuna angola na zimbabwe, mataifa haya hayana mzaha katika kukomesha hujuma za rwanda kwa Congo. M23 ni watutsi watupu mpaka wananyoa nywele ili wasijulikane vizuri.Mapango wa UN kupeleka Drone Tatu kwa ajiri ya kufuatilia nyendo zote katika mpaka wa rwanda na Congo umeipa wakati Mugumu serikali ya Rwanda.
kiasi cha Ujumbe wao UN kupinga moja kwa moja suala hili.
Rwanda wanapinga kwa hoja kuwa Drone hizo zitakua zinachunguza hadi ndani ya Rwanda.
Wakati huo huo. kamati ya usalama ya SADC troika inakutana na Kabila kupnga namna ya kuwaangamiza M23 tena Zuma Mwenyewe akihudhuria.
Pia miongoni mwa mapendekezo ya Un ni kuweka Vikosi vipya vya kijeshi mpakani mwa Rwanda na Congo.
My take.
SADC watamujaza kichwa kabila agome kujadiliana na M23 ili wapate sababu ya kuwafyeka.
Kagame yupo sahihi, haya mambo ya kuruhusu ndege za upelelezi ziruke kwenye anga lako ni mambo ya kipuuz....
MD25, kwa hiyo wanaosema kuwa Kagame na Museveni wanawasaidia M23 ni waongo? wewe una ushahidi gani wa kukosoa taarifa iliyotolewa na ile group ya UN wakiwa na evidence kuwa nchi hizo mbili zinawasaidia Watutsi wenzao wa M23?!!!Mkuu mpaka sasa hakuna proof yoyote juu ya Rwanda kusapoti hao jamaa. zimebaka propaganda tu.
Je, unaweza kufikiria madhara ya zile silaha zilizokuwa zinapitishwa
ziwa victoria eneo la mwanza?? okay, hizo silaha zimeenda wapi? kwa nini
tz hainyooshewi kidole? sometimes udhaifu wa serikali yetu tena kwenye mambo ya msingi yanasababisha madhara upande mwingine...
Je Mkeshaji nawe ni MNYARWANDA?Usiongee kishabiki. UN imetangaza kupeleka drones DRC na sio Rwanda. Hiyo ya Rwanda kusaidia M23 ni speculation zako,
Vipi ile platoon moja aliyoahidi Membe kuipeleka DRC kupambana na M23 mmeshaipeleka, au ilishakuwepo kule siku nyingi.