Kagame katika ubora wake

Hata amtengeneze vipi hatokuwa kama yeye. Hatoweza kuhimili vishindo kama yeye, aliyopotia PK yamemjenga na kusaidia namna alivyo sasa.
Ni kweli sio rahisi kumpata Mtu sahihi kama yeye. Na pia ndio tatizo la viongozi wengi type yake. Kila Siku wanaona mrithi wao hajakwiva kuchukua majukumu, wakija kushituka wanakuwa ndio wanakimbizwa kwa nguvu na umma Au coup
 
Well said
 
Kaandaa Mtutsi mwenye itikadi kali kama yeye maana akiingia lelemama hapakaliki pale achana tu na Mhutu ampae atawarudisha upya waethiopia kwao kupitia mto.
Bado hawezi kufikia alivyo yeye na huyo mrithi atatetereka tu
 
Write your reply...duuuh, maisha haya.... Nchi ndogo inatawala nchi kubwa, sasa c tuungane tu, sasa Rwanda ni ya kuiuzia tz ulinzi kweli. Hata tz kulindwa na Rwanda ni aibu, hata kwa idadi ya watu tu
 
Ubora gani apo ? Si muuwaji tu ...Bashir yuko wapi ? Mugabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…