Kagame katika ubora wake

Kiongozi kuwa na ulinzi mkali ndani ya nchi yake huwa anahofia nini?
Na huku wanapendwa sana na wananchi wao. Huyo PK alishinda kwa asilimia 98 km sikosei. Wanampenda mpaka wamemuongezea muda mpaka 2034
 
Mimi huwa najifikiria sawa ,Rwanda itakuwaje bila kagame? Kwa sabab kila kitu kashikiria yeye,in short hakuna mfumo
Sehemu kama hizo viongozu wa namna hiyo wakiondoka huwa wanawaacha balaa kubwa. Lakini waafrika kama kawaida yetu huwa hatufikirii
 
Itakuwa ana mtu wake anamtengeneza. Akitoka anamuachia.
Hata amtengeneze vipi hatokuwa kama yeye. Hatoweza kuhimili vishindo kama yeye, aliyopotia PK yamemjenga na kusaidia namna alivyo sasa.
 
Mimi huwa najifikiria sawa ,Rwanda itakuwaje bila kagame? Kwa sabab kila kitu kashikiria yeye,in short hakuna mfumo
Kaandaa Mtutsi mwenye itikadi kali kama yeye maana akiingia lelemama hapakaliki pale achana tu na Mhutu ampae atawarudisha upya waethiopia kwao kupitia mto.
 
Hata amtengeneze vipi hatokuwa kama yeye. Hatoweza kuhimili vishindo kama yeye, aliyopotia PK yamemjenga na kusaidia namna alivyo sasa.
Yaaani mfano aandaliwe bashite
 
Ni kwa ajili ya wakorofi kama Lema na Sugu!
Mfuasi wa Kagame, Mobutu, Bokassa, Nkurunzinza una akili ndogo kiasi hicho ?!. Tangu lini mpinzani aliyeko kikatiba akawa adui wa kulengwa. Na Je waasi utawafanya Je ?!.
 
Kaandaa Mtutsi mwenye itikadi kali kama yeye maana akiingia lelemama hapakaliki pale achana tu na Mhutu ampae atawarudisha upya waethiopia kwao kupitia mto.
Utataka kuniambia watsi ni waethiopia by nature?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…