Mbona zinashabihiana na zile pale jumba jeupe? Kaazi kweli kweli!!Mmh hizo gwanda
WanafananafananaHawa si ndio wale!?
Wale waleHawa si ndio wale!?
Mmh hizo gwanda
Huyu akitoka tu kwenye hicho kiti hamalizi wikiDuuuh wanafanana hatari hatariView attachment 1099729
Wepi hao swahiba?Hawa si ndio wale!?
Huyu akitoka tu kwenye hicho kiti hamalizi wiki
Sana. Ukiondoa nembo tu basi kwa macho tu akili ina process ni walewaleDuuuh wanafanana hatari hatariView attachment 1099729
Ni kweliSana. Ukiondo nemba tu basi kwa macho tu akili ina process ni walewale
Unaweza kuta ndo hao wanazunguka wakitoka huko wanakuja hukuHuyu ndio kamuelekeza. Sema hawa 'jezi' zao zina bendera ya Taifa lakini unaweza ukadhani ni kikosi kimoja kwa kufanana muonekano hadi silaha naona ni zilezile.
Siajabu kuanzishwa kwa kile cha kwetu ni wazo la jirani na unaweza kuta hata logistics ni jirani.
Kwa nchi zenye au zilizopitia vita na hali bado haijawa shwari ndio unakuta walinzi wenye silaha nzito nzito nje nje kama hivi, kidole kiko kwenye trigger kwa lolote.
Nchi kama Rwanda, Burundi, Congo, Iraq, Syria, Afghanistan n.k ni kawaida sana lakini nashangazwa na hapa kwetu
Wenye uelewa zaidi nadhani wataongea zaidi
Mmh hizo gwanda
Ha haa.... eeh wanafanana sare.Labda ndio wenyeweHawa si ndio wale!?