Kagame in Tz... Amazingly

Jhaxan

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
403
191
Kenyatta povu linamtoka anakomaa na waethiopia ..... Chezea magufuli wewe
 
Tanzania - rwanda railway =13bn$

Rwandas economy =7bn$

Hahaha nimewacha sana ila good for Tanzania


Ethiopia hapa juu wapo wapo tu na 59bn$
 
bongo-live don't make me start loving you now..... I still love the way i hate you but ngochatore!!!
anybody who trades stocks in east africa will tell u that.Since 2013, Safaricom has enjoyed a price rally that has seen its share price double, resulting in today’s market cap that is more than EABL, KCB and Equity Bank combined. Market capitalisation was over 700b ksh in march this year, thats 7b$. i also watch cnbc africa, they shifted their hq to kigali.
 
Safaricom inaeza jenga SGR ya kenya na bado ibaki worth mor than 3.5usd billion
 
Watu M11 wewe na utajiri wa safari com? Au mnamaanisha nn nyie....
 
Wabongo bana, nakumbuka humu humu mlivyomtukana huyu Kagame, mada zilikua zinaanzishwa kila siku. Mara M23, mara eti amewajaza wanawake wenye Ukimwi Dodoma ili wawavizie mawaziri na wabunge wenu, mara amesema atamhit rais wenu, mara Kagame ana pua refu, mara amejaza mamluki wake ndani ya nchi yenu, mara Rwanda size ya mkoa wenu, mara anaua Wahutu, mara yeye kasababisha genocide... pamoja na tuhuma zingine nyingi.

Mlikua mnaibuka na hizo tuhuma hadi kero, ilifikia hadi binafsi nikaanza kugombana na nyie, mkaniita Mtutsi. Sitasahau akina jMali Bukyanagandi JustDoItNow
Sasa leo huyo Kagame ndiye mnayetutambia humu. Hongereni, maana hata Magufuli amekiri kupata darasa kutoka kwa Kagame hadi amefaulu kuagiza ndege mbili.

Kagame amedhihirisha kuwa mtu mvumilivu na anayejua anachokifuata, matusi yote hayo hayakumzuia. Nimejifunza kitu kutoka kwake aisei.
 
hahaha...ila kazi kweli kweli, nlicheki juzi, kampuni ya mawasiliano kenya safaricom ni kubwa kuliko uchumi wa rwanda..ila hongera zake magu
What do you expect from a company ambayo imemonopolize industry nzima ya mawasiliano ya Kenya?
 
...even Tanzania mbona yapo makampuni mengi makubwa yenye uchumi mkubwa kuliko serekali ya Rwanda?
 
anybody who trades stocks in east africa will tell u that.Since 2013, Safaricom has enjoyed a price rally that has seen its share price double, resulting in today’s market cap that is more than EABL, KCB and Equity Bank combined. Market capitalisation was over 700b ksh in march this year, thats 7b$. i also watch cnbc africa, they shifted their hq to kigali.

Dah! Kumbe uko vizuri kwa haya mambo, nilikua nimekuzoea kama mtu wa ovyo na yale mambo yako ya kuchamba.
You seem very interesting and obviously a kind of guy I can enjoy a conversation with over a cup of coffee, as we analyze our investment portfolios in these dynamic markets of EAC.
 
Back
Top Bottom