Wewe wasemajee !??! harufu ya damu wakati wewe mwenyewe ulikoga kwa damu yako juzi!! (kweli au uongo) ?Haina shida tunamkaribisha kwa amani wala asihofu kwani mwenyewe anatambua kafike na kukanyaga ardhi isiyo na arufu ya dam,hewa isiyo na mchanganyiko na arufu ya dam,hewa pyuwa saafi. Ila huyujamaa alipaswa nikampokee mimi na si membe bas tu naudhuru
Wewe wasemajee !??! harufu ya damu wakati wewe mwenyewe ulikoga kwa damu yako juzi!! (kweli au uongo) ?
Presida. J Kagame welco /karibu TZ !!
Khaswaa... Sasa amesahau mauaji aliyotenda!! MOTOCHINI upo ?!!Aaaaahaa unakumbukumbu huyu si aliua jambazi alipovamiwa au
Wewe wasemajee !??! harufu ya damu wakati wewe mwenyewe ulikoga kwa damu yako juzi!! (kweli au uongo) ?
Presida. J Kagame welco /karibu TZ !!
Pole Mkuu,, Tunakuombea kwa Mwenyeezi Mungu Mwema akupe uponyi wa haraka uinuke hapo!!!Da! naandika nipokitandan lakin nachokiongelea ni mauaji yale ambayo yeye amekuwa akiyapambia kama wimbo, mm ni kakundi ka watu wanao waza kupata maisha kupitia njia haram,wasie na kazi zaid ya ujambazi
Aaaaahaa unakumbukumbu huyu si aliua jambazi alipovamiwa au
Vipi umepona?nasikia umekill mtu any way poleHaina shida tunamkaribisha kwa amani wala asihofu kwani mwenyewe anatambua kafike na kukanyaga ardhi isiyo na arufu ya dam,hewa isiyo na mchanganyiko na arufu ya dam,hewa pyuwa saafi. Ila huyujamaa alipaswa nikampokee mimi na si membe bas tu naudhuru
Haina shida tunamkaribisha kwa amani wala asihofu kwani mwenyewe anatambua kafike na kukanyaga ardhi isiyo na arufu ya dam,hewa isiyo na mchanganyiko na arufu ya dam,hewa pyuwa saafi. Ila huyujamaa alipaswa nikampokee mimi na si membe bas tu naudhuru
Membe ndio saizi yake huyo....
Membe ndio saizi yake huyo....
Rais Kagame awasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki Mkutano wa Uwelezaaji wa Ukanda wa Kati
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Rais Kagame akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth Jackson kama ishara ya kumkaribisha nchini Tanzania. Rais Kagame akikagua gwaride la heshima Rais Kagame na Waziri Membe wakiangalia burudani ya ngoma za asili uwanjani hapo. Waziri Membe akiwa ameongozana na Rais Kagame mara baada ya kukagua gwaride na kushuhudia ngoma za asili. http://michuzi-matukio.blogspot.com/2015/03/rais-kagame-awasili-jijini-dar-es.html