Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence

Msiwe na mawazo mgando kikwete hana kosa ukimshauri rafiki yako akikutukana utfurahi? Hata hivyi inaonekna eac walikuwa wanatafuta sababu na sehemu ya kututoa hakuna chochote lakini bora mwisho wangechukua ardhi yetu na rasilimali zetu watu wenyewe hata shukrani hawana najua rais wetu yupo katika wakati mgumu
 
umeambiwa kama una orodha ya matusi hayo weka hapa! Ukweli ni kwamba JK anamtumia PK kujaribu kujirudishia upendo toka kwa watz wanaoichukia serikali yake!

Labda lile.."I will find you at a certain corner and hit you" tehetehete!
 
Watutsi wapo wengi kweli, hii ndio shukrani ya kuwapa uraia jamii ya kishenzi,
 

Ungekuwa umetembelea Rwanda ungekuwa na sababu ya kutuambia kwamba mkono wa chuma una matatizo kwa kesi ya Rwanda. Rwanda ukienda leo vijiji vya mbali kabisa na Kigali hukuti nyumba kama zile za Bagamoyo au Kondoa au Kilwa. Umeme ni bidhaa isiyo ya matajiri tu....
Je TZ tunafaidi nini juu ya upole wa mshikaji wetu anayejali huruma isiyo na faidi kwa masikini au maendeleo ya watu wa chini?
 
...Aliposema angepewa Tz kuiongoza angehitaji miaka mitano tu kuitransform - JK alidhani anatukanwa.
Mkuu, kwa hiyo hili ndilo tusi lililopelekea 'wahamiaji haramu'!?
 
Yani haihitaji akili nyingi kuweza kung'amua hilo kuwa huyu jamaa ni kama mmarekani yeye anafanya mambo kwa maslahi ya nchi na kwa ajili ya maendeleo ya nchi yake na ndio maana akang'ang'ania shirikisho la afrika mashariki aweze kupata loophole mbili kudump population na kuchota resource as what he does congo kwa kutumia na kufadhili m23 haoni hasara kufanya outsourse ya rasilimali watu toka nje ya nchi yake na ndio maana nchi yke inakimbia binafsi napenda utendaji wake wa kazi
 
Hapo ndio huwa namkubali PK,ingawa inaweza kuwa kamfukuza akiwa na motive ingine kabisa


Mkuu, katika siasa there's always something behind the curtain. Ukisikia usanii wa bongo fleva ndiyo huu. Usijekuta walishapanga hii kitu kitambo kwani Kagame japo he seems serious is also msanii for he knows the world is waking up now and realizes that it is he who started genocide. All the fingers are pointing at him for genocide and other terrorist attacks on ex ministers around the world. So hii isiwe ni njia tu ya kutaka kujisafisha. Time will tell.
 
kuhusu kua serious kagame is one of the few president ambae hataki ushikaji katika kazi..... huu ni mfano kwa rais wetu JK ... what i mean here hata kama mtu ana mapungufu yake lakini pia ana mazuri yake moja ya zuri ni kama hili!!!
 
This slim boy is very serious!!! Napenda uchapakazi wake kama si matusi yake ya juzi kwa Rais wetu bado ningemuona Rais wa mfano wa kuigwa!!

Bado ni mfano wa kuigwa, huwezi kumfananisha na JK, ni kama mbingu na Ardhi... Ni kipi kinachoweza kukufanya umuone JK kama role model?....
 
Kagame yupo serious na nchi yake... Kama hapa Tz tungepata kiongozi kama huyo hakika maisha yetu yasingekuwa kama hivi tunavyoishi-ishi kama tumepagawa....
 
Huyu ndio raisi wetu in a nutshell. Hana mchezo katika kazi. Hana ndugu katika kazi. Yeye anaangalia maslahi ya nchi kwanza. Maandalizi mabovu ya mkutano tu yanamfukuzisha kazi waziri. Uwajibikaji. Hapo tanzania haya yanawezekana kweli?
12/07/2013 14:11:00 Kenneth Kazibwe

[h=1]Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence[/h] allAfrica.com: Rwanda: MINEAC Gets New Minister
Lengo la Paul Kagame tumeliona juzi huko Arusha kumbe lengo lake kuu ni kufanyike Mkutano wa EAC mjini Kigali na huyu mama aliposhindwa ndio akam FIRED
Hapo mmetukosa Makao makuu yatabaki kuwa Arusha FINITO asiyetaka ajitoe sisi Wabunge wetu hawatakuja labda Waziri 6 aje maana ndio muoga
na hii habari sio ya mwezi huu wa august ni ya zamani

President Kagame together with the new minister for EAC affairs, Jacqueline Muhongayire (L)
cc adolay


[h=1][/h]
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndio huwa namkubali PK,ingawa inaweza kuwa kamfukuza akiwa na motive ingine kabisa
Mkuu kweli unalolisema ni mchapakazi lakini anaweza akawa na agenda yake binafsi ambayo niiiiiiiiiii kupata ushawishi mwingi wa kuhamisha mikutano toka Arusha kwenda Nairobi kama si sikosei...Huyu mtutsi ataivuruga East Africa ataleta mizozo mingi bora kuwaengua hawa watu tubaki vile tulikuwa zamani nchi tatu huyu atatugeuza na sisi kama raia wake anaowatreat kama watoto wadogo wakati mwingine.
 
Sisi waTz tubakie na:

(1) siasa zetu za maji taka,
(2) kumwagiana tindikali,
(3) kuamrisha polisi wapige raia,
(4) Raia tuendelee kulia-lia kwa vile hatuweze kupata suluhisho la matatizo yetu kutokana na vichwa vyetu kujaa maji na
(5) kuwaonea wivu majirani zetu wanapokuwa wanafanya mambo ya maendeleo....
 
Acha wee, nyie ndiyo mnaofuga uwozo Tanzania kwenu, au hujui Kiingereza? Si amesema hapo sababu ni poor communication and coordination?
After all, Waziri anawajibika kwa aliyempa kazi, na ni lazima afanye kazi kwa mujibu wa objectives na goals zilzowekwa, kama hataweza aondoke. Ila Tanzania!
 

Nitajiuzulu mara moja. La sivyo ana haki ya kunifukuza kazi kwa kuwa serikali ni yake.
 
Inawezekana huyo waziri aliyefukuzwa alikuwa na mtazamo tofauti na yeye na hasa kwa mambo yanayoendelea ndani ya EAC,halafu maandalizi mabovu ya mkutano ikawa ni kisingizio,....huyu TOLU atabiriki yote yanawezekana
 


katika hizo taarifa zote sijaona wala kusikia tusi, wala jina la rais Kikwete! mkuu achana na habari za kikwete kutukanwa na kulalamika! mbona viongozi wetu wameshatutukana sana sisi Watanzania wenzao, mara "mtakula nyasi" mara "mpige mbizi" mara "wazee wanakaribia kufa" mara "wapigwe tu"! sasa yote hayo mnaona sawa ila akisemewa ukweli JK basi tunashinda mitandaoni kumkingia kifua!

huu sio wakati wa "kwanini JK atukanwe"
ni wakati wa kuangalia mbadala wa mapato baada ya Rwanda na Uganda kujitoa TpA;
ni wakati wa kuangalia namna ya kusafisha jina letu na biashara ya unga haramu;
ni wakati wa rais wetu kuacha kueleka chuki kwa raia wenye asili ya Rwanda, eti wahamiaji haramu; hivi miaka yote hakujua kama wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ