Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence

HUYU jamaa PK ni dictator, huwezi kufukuza waziri hadharani, mbona Mukaruliza Monique kafanya mengi tuu EAC ??? Sema Monique doesn't suport his stand on EAC!!
 
  1. PK alisema kuwa JK ni garasa (karata isiyokuwa na thamani) alipokuwa anaongea na vijana
  2. Akasema atamtandika wakati sahihi
  3. Akasema ni mjivuni, mpenda sifa
  4. Na mengine mengi

??????? ............. Matusi yako wapi hapo ???......
garasa = dhaifu !!
 
Huyu ndio raisi wetu in a nutshell. Hana mchezo katika kazi. Hana ndugu katika kazi. Yeye anaangalia maslahi ya nchi kwanza. Maandalizi mabovu ya mkutano tu yanamfukuzisha kazi waziri. Uwajibikaji. Hapo tanzania haya yanawezekana kweli?

Kweli mkuu,
Haya hayawezi kutendeka Tanzania under the current country leadership, labda watati wa awamu ya kwanza (under Mwalimu J.K. Nyerere).
 
Ameweza hayo lakini ameshindwa kuwa msimamizi wa mdomo wake!

Cheap shot. Halafu mkuu nimeona hapa kuwa wewe ni kiongozi wa chama pinzani hapo tanzania? If it is so, then you guys are in trouble kama hawa ndio viongozi wenu. Anyways, good luck guys.
 
Tena dada Monique achunge saana kama wametofautina anaweza kupotezwa!!! PK ni Muuwaji !!!
 
Cheap shot. Halafu mkuu nimeona hapa kuwa wewe ni kiongozi wa chama pinzani hapo tanzania? If it is so, then you guys are in trouble kama hawa ndio viongozi wenu. Anyways, good luck guys.

Kiongozi mzuri anajua kupima anachosema.Kiongozi mzuri hutumia busara na diplomasia.Ni jambo la ajabu kama unapinga hizi qualities
 
Hakuna kama kagame kaka kwa afrika ya sasa huyu yupo kikazi na kujenga nchi yake hataki porojo
This slim boy is very serious!!! Napenda uchapakazi wake kama si matusi yake ya juzi kwa Rais wetu bado ningemuona Rais wa mfano wa kuigwa!!
 
Unda tume basi kama mlivozoea watanzania, kagame hana huo utumbo wa kucheka na nyani
 


Hapa kuna utata. usishangae hawa mabosi ukaona wanaikimbia Rwanda kama ilivyotokea kwa Kayumba nyamwasa halafu PK akawakuta huko huko ukimbizini kuwatandika (shooting) walivyofanywa akina sendashonga na kayumba nyamwasa (though the latter survived) . Hii inawezekana ni mabifu tu ya siku nyingi ambayo alikuwa anayatafutia kijisababu (appropriate time) so that he can hit as usual. YOu know PK ni mzee wa "waiting for an appropriate time and hit". Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa haya hayajafanyika kwa manufaa ya taifa, bali manufaa ya kwake mwenyewe and some few people. Msishabikie uendeshwaji wa nchi kwa mkono wa chuma halafu mnaona kama hiyo effectiveness. Iweje ufukuze watu wote hao kwa ajili ya handling ya mkutano tu?? Siyo matatizo ya fikra hayo??
 
Kiongozi mzuri anajua kupima anachosema.Kiongozi mzuri hutumia busara na diplomasia.Ni jambo la ajabu kama unapinga hizi qualities

Sasa mkuu, hivi bado unaongelea mambo ya mwezi wa 6? Hivi kama ingekuwa huu ugomvi ungekuwa na mke wako ina maana kuwa mngekuwa bado hamlali kitanda kimoja? Don't be childish. Haya mambo sio mara ya kwanza wala sio mara ya mwisho. Kama wewe ni mwanasiasa u should know better. Lakini kwa kuangalia avatar yako wewe bado kijana. Safari bado ndefu kwako.
 

Mtabaki mnatafuta sababu kila siku ili mjifariji kwa weakness zenu za kiuongozi, lakini ukweli uko pale pale tu. Kagame ni kiongozi shupavu. Ukubali, usikubali.
 
Yeah, he did fire him because the guy did not hit us!!
 

Nitakupuuza kwa sababu kwa mentality hii huna cha kutufundisha sisi vijana pamoja na umri wako.
 
JK alisema "...do not be deceived by my smile, I am serious on issues" hadi leo sijajua ni issues gani yupo serious

Kupambana na madawa ya kulevya na nani hiii, ile nini tena (nitarudi nikikumbuka)...teheheeee :smile-big:
 
Sio JK kucheka cheka tuu na kugawa vyeo kwa fadhila!TANZANIA MANENO MATUPU unaacha kukamata wauza unga eti kuogopa wabunge hawatapona, kudadeeki
 
??????? ............. Matusi yako wapi hapo ???......
garasa = dhaifu !!

kwa mkuu wa nchi kumwita rais wa nchi nyingine garasa ni tusi kubwa sana. Na garasa haimaanishi dhaifu kama unavyosema bali ni kitu kisicho na thamani kama zile karata za mavi ya mbuzi worth kushinda mali. Tofautisha hili na yale matusi mnayotukanana mtaani kwenu mkisha zimua pombe. Jaribu kuiangalia kwa kutumia tafsiri za kidiplomasia (kimahusiano kati ya nchi na nchi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ