Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,402
- 7,310
Duuuh, kumbe bwana mdogo hiviKumbe JForenga ilikuwa hewani miaka hiyo!nilikuwa form 5
Duuuh, kumbe bwana mdogo hiviKumbe JForenga ilikuwa hewani miaka hiyo!nilikuwa form 5
Babu yangu pekee alikuwa na TV pale kijijini. Alikuwa na Solar.Daah kitambo sana
Mwaka juzi pia wakakimbia. Wasiombe niwe kiongozi wa mpira. Wakileta ujinga wao naifuta timu halafu tuone watanifanyajeHawa mambwa kumbe walikacha dimba?