Ahaaaa wadau Hii ni Nini hasa naangalia me hi za CECAF kupitia DSTV Leo nimewekamo kiswahili language !!! Aisee Yale yale atangaze Mbongo yeyote match tatizo lao ni lilelile Akina Kitenge porojo tupu wao wanatangaza jambo tunaloliona sisi katika screen na wakati Ali Salem Manga anakupa events na data za Timur hiyohiyo au mchezaji na hata kama kitu kipo off screen unajua Nini kinaendelea Kuwa hili BADO tunayo mbuga ndefu yakutafuta mazuri kwenye masikio yetu haya pia huwa tunayasikia Kwa watangazaji wetu wa Azam akina Hamisi Mvula n.k ni Nini mtaala au kufanyia kazi mazoea si shule