Kagame atoa onyo kali kwa 'WASALITI'

Kagame atoa onyo kali kwa 'WASALITI'

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,958
Rais Paul Kagame wa Rwanda
ameonya kwamba atakayethubutu
kulisaliti taifa hilo atakiona cha
moto.
Rais Kagame alikuwa akielezea hisia
zake wakati wa sala za kuombea
taifa hilo kwa awamu ya kumi na
nne.
Hayo yamejiri siku chache baada ya
kuuawa katika mazingira ya
kutatanisha kwa aliyekuwa kiongozi
wa ujasusi nchini humo Patrick
Karegeya katika hoteli moja nchini
Afrika Kusini.

Source: BBC
 
wanyarwanda kama akina koba watatembea uchi humu jf kuunga mkono upuuzi huu kwa ushabiki wa kitusi bila kujua nawao siku wakidai haki zao za msingi ni risasi poor kagame, naona nchi ya rwanda pamoja na kuigeuza kuwa taifa la kitusi bado dhambi ya ubaguzi dhidi ya wahutu inaendelea kumtafuna
 
Usiniambie kuwa Koba na rugumye ni 'Wahima' nao.
 
Last edited by a moderator:
wanyarwanda kama akina koba watatembea uchi humu jf kuunga mkono upuuzi huu kwa ushabiki wa kitusi bila kujua nawao siku wakidai haki zao za msingi ni risasi poor kagame, naona nchi ya rwanda pamoja na kuigeuza kuwa taifa la kitusi bado dhambi ya ubaguzi dhidi ya wahutu inaendelea kumtafuna

Hakuna cha ushabiki hapa,msaliti dawa yake ni kuawa tu,hata tz msaliti adhabu yake nikifo,hata katika agano la kale msaliti alikatwa kichwa,enda popote duniani msaliti hatima yake ni kifo,ninachompende pk hana mambo ya kupita pembeni ni muwazi na straight,poor karegeya kwanza yeye ni mtusi,na alitaka kuletea janga wanyarwanda akiwatumia jk,kabila,zuma,fdlr na france katika haya mambo ya est congo lakini mungu aliepusha hilo,sasa it is a time for payback.
 
kagame ni mtu hatari ninahakika atakufa kwa upanga kama anavyoua yeye, kifo cha patric kimesikitisha dunia
 
Hebu acheni unafiki,nashangaa jinsi mnavyo wachukia watusi eti leo mtusi karegeya amekufa eti mmesikitika sana? mbona hamkusikitika wakati watusi wanauwawa rwanda,DRC,na wakati walipokua wakitimuliwa tz juzi? huo ndio unaitwa unafiki,nani ambaye hajui kama karegea alikua swahiba wa jk,zuma na kabila wakipanga uovu dhidi ya wanyarwanda,now payback time.
 
Hakuna cha ushabiki hapa,msaliti dawa yake ni kuawa tu,hata tz msaliti adhabu yake nikifo,hata katika agano la kale msaliti alikatwa kichwa,enda popote duniani msaliti hatima yake ni kifo,ninachompende pk hana mambo ya kupita pembeni ni muwazi na straight,poor karegeya kwanza yeye ni mtusi,na alitaka kuletea janga wanyarwanda akiwatumia jk,kabila,zuma,fdlr na france katika haya mambo ya est congo lakini mungu aliepusha hilo,sasa it is a time for payback.

mtauwa wengi lakini hamtaweza kuwafunga mdomo wapigania haki kuhusu umwagaji damu unaoendelea rwanda na nje ya rwanda kwa uchu wa madaraka wa dikteta kagame
 
nyie watu mnajiona special kweli. yaani JK (tanzania), kabila (DRC), Zuma (SA), France...wooote hao waungane na karegeya kumpindua kagame? kwa ukubwa gani hasa alio nao kagame to warrant such attention? Ka nchi kenyewe si kanategemea misaada tu, kana mafuta, kana madini? Acheni hizo complexes zenu. kagame kaua kwa sababu ya kisiasa si vinginevyo!
 
Hebu acheni unafiki,nashangaa jinsi mnavyo wachukia watusi eti leo mtusi karegeya amekufa eti mmesikitika sana? mbona hamkusikitika wakati watusi wanauwawa rwanda,DRC,na wakati walipokua wakitimuliwa tz juzi? huo ndio unaitwa unafiki,nani ambaye hajui kama karegea alikua swahiba wa jk,zuma na kabila wakipanga uovu dhidi ya wanyarwanda,now payback time.

Sisi wanafiki:
1. Tumehifadhi babu zako (watutsi) waliopinduliwa ufalme wenu mwaka 59, na wengine wakapewa uraia hapa bongo. As a matter of fact mfalme wenu king kigeli V aliishi hapa miaka miwili from 61 to 62!
2. Tumehost mazungumzo ya amani kati ya huyo Kagame wako na serikali ya Rwanda mwaka 94 kule Arusha. Yote hiyo ni kutaka nyinyi ndugu mkae kwa amani.
3. Tumehifadhi ndugu zenu wahutu baada ya kagame kupindua nchi miaka kibao hapa kwetu.
3. Mahakama ya ICTR ilianzishwa na iko Arusha inahukumu waliohusika na uhalifu wa kivita huko kwenu
4. Wanafiki sisi ndio tuliokubali kuungana na nyinyi EAC wakati ambapo hali zenu za kisiasa zi tete.
5. Kikwete huyu huyu ndie ana-yesuggest mazungumzo ya amani kati yenu in public si kwa kujificha! alisema mchana kweupe kila mtu anasikia. JK anakuwaje mnafiki? Mawazo yake na msimamo wake unajulikana na kila mtu.

SWALI: Nani mnafiki kati yetu sisi (watanzania tukiongozwa na JK) na nyinyi (extremists tutsis)? C.C:
Koba
, murutongore, majeshi 1981, rushasha, timbilimu, newmzalendo ndonya1
 
koba, murutongore, timbilimu hawataweza kuja hapa kukujibu zaidi ya kuporomosha matusi, lakini hawa hawa kikinuka utawaona mpakani na mifuko ya rambo pamoja na mikekea na vibakuli vya uji kuomba hifadhi Tanzania. Tanzania ni lazima tujitafakari mara kumi kumi kabla ya kuwasaidia tena wauaji hawa.
 
Bwana jMALI,hatuangalii jinsi tz mlivyo anza bali tunaangalia jinsi mlivyo malizia,unaweza kua mwanzoni ulikua mzuri lakini ukamalizia kwa ukatili,nakubaliana na uliyo yasema hapo juu kuhusu wema wa tz,lakini mmeharibu katika umaliziaji,na hiyo ndio inapewa uzito,huwezi kumpenda mke,ukamuoa,na mwishowe ukamuua halafu tuseme ulimpenda? sorry inauma jinsi mlivyo wasaliti hao mlio watendea mema wakati wa baba wa taifa mwalimu nyerere na ataendelea kukumbukwa na wanyarwanda milele.
 
mtauwa wengi lakini hamtaweza kuwafunga mdomo wapigania haki kuhusu umwagaji damu unaoendelea rwanda na nje ya rwanda kwa uchu wa madaraka wa dikteta kagame

Unajua mauaji yako dunia nzima,nafikiri mauaji yanayofanyika tz nizaidi ya rwanda,ila kwakua pk amekua target ya hao wazungu sana sana wafaransa na wabeligiji wanatumia media ya kuendesha kampeni dhidi ya pk,tz haiongelewi ingawa watu wanakufa usiku na mchana kwani haiko kwa spotlight.
 
Sisi wanafiki:
1. Tumehifadhi babu zako (watutsi) waliopinduliwa ufalme wenu mwaka 59, na wengine wakapewa uraia hapa bongo. As a matter of fact mfalme wenu king kigeli V aliishi hapa miaka miwili from 61 to 62!
2. Tumehost mazungumzo ya amani kati ya huyo Kagame wako na serikali ya Rwanda mwaka 94 kule Arusha. Yote hiyo ni kutaka nyinyi ndugu mkae kwa amani.
3. Tumehifadhi ndugu zenu wahutu baada ya kagame kupindua nchi miaka kibao hapa kwetu.
3. Mahakama ya ICTR ilianzishwa na iko Arusha inahukumu waliohusika na uhalifu wa kivita huko kwenu
4. Wanafiki sisi ndio tuliokubali kuungana na nyinyi EAC wakati ambapo hali zenu za kisiasa zi tete.
5. Kikwete huyu huyu ndie ana-yesuggest mazungumzo ya amani kati yenu in public si kwa kujificha! alisema mchana kweupe kila mtu anasikia. JK anakuwaje mnafiki? Mawazo yake na msimamo wake unajulikana na kila mtu.

SWALI: Nani mnafiki kati yetu sisi (watanzania tukiongozwa na JK) na nyinyi (extremists tutsis)? C.C:
Koba
, murutongore, majeshi 1981, rushasha, timbilimu, newmzalendo ndonya1

Mkuu naona unaanza kuchoka kujadili na mimi kwakutumia facts,umeanza kuni-mention kwenye vitu visivyo na maana,nafikiri hii ni mbinu ya kunitoa kwenye mada ya msingi ili tuanze kutukanana hovyo.
 
Bwana jMALI,hatuangalii jinsi tz mlivyo anza bali tunaangalia jinsi mlivyo malizia,unaweza kua mwanzoni ulikua mzuri lakini ukamalizia kwa ukatili,nakubaliana na uliyo yasema hapo juu kuhusu wema wa tz,lakini mmeharibu katika umaliziaji,na hiyo ndio inapewa uzito,huwezi kumpenda mke,ukamuoa,na mwishowe ukamuua halafu tuseme ulimpenda? sorry inauma jinsi mlivyo wasaliti hao mlio watendea mema wakati wa baba wa taifa mwalimu nyerere na ataendelea kukumbukwa na wanyarwanda milele.

Kwa hiyo unataka kusema JK aliposhauri mazungumzo na FDLR alikuwa ignorant of your history? Hivi kila mtu akisoma historia ya Rwanda unadhani majority watakubaliana na nani JK (peace talks) or Kagame?
 
Mkuu naona unaanza kuchoka kujadili na mimi kwakutumia facts,umeanza kuni-mention kwenye vitu visivyo na maana,nafikiri hii ni mbinu ya kunitoa kwenye mada ya msingi ili tuanze kutukanana hovyo.

wala sijachoka. Hizi hapo juu kwani sio facts? Nimetembelea profile yako nimeona jinsi unavyoshiriki mijadala mingi kuhusu Rwanda na upande gani upo that's all. Kuhusu ile mada yetu ipo pale pale.
 
nyie watu mnajiona special kweli. yaani JK (tanzania), kabila (DRC), Zuma (SA), France...wooote hao waungane na karegeya kumpindua kagame? kwa ukubwa gani hasa alio nao kagame to warrant such attention? Ka nchi kenyewe si kanategemea misaada tu, kana mafuta, kana madini? Acheni hizo complexes zenu. kagame kaua kwa sababu ya kisiasa si vinginevyo!

Kwa taarifa yako hao jamaa wako wanaomboleza kifo cha spy wa rwanda,kwani kwao alikua master planner dhidi ya rwanda,sasa link imekatwa sasa shangaa hao wote wanatafuta nini kwa nchi ndogo kama rwanda,nafikiri wao wanaujua ukubwa wa rwanda kwani hata mimi nashangaa inabidi wataalamu watujuze kwanini hawajamaa wanatamani mageuzi rwanda?
 
Kwa hiyo unataka kusema JK aliposhauri mazungumzo na FDLR alikuwa ignorant of your history? Hivi kila mtu akisoma historia ya Rwanda unadhani majority watakubaliana na nani JK (peace talks) or Kagame?

Hapakua cha ushauli pale,bali kalikua kamchezo ka kidiplomasia wakati jamaa walikua waisha panga mchezo mchafu dhidi ya kigali,na hilo kigali ilikua inalijua,link kati ya jk na karegeya na fdlr,nyie mnafikiri gov ya rwanda ni vichaa wa kutaka kukosana na tz? Lakini wakati meingine watu wanalazimishwa kuwa katika hali ambayo haikua necessary,rwanda ina advantages nyingi kwa kushirikiana na majirani,inabidi mkaechini na kuchambua kwa kina nini kilisababisha hizi nchi kua maadui bila ku jump into conclusion.
 
Back
Top Bottom