YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Rwanda ilikuwa failed state Ikizalisha wakimbizi dunia nzima mauaji yasiyo na kikomo ya kimbari yakawa order of the day .Watu walikuwa maskini wa kutupwa.Nchi kila eneo liwe elimu,afya,biashara nk lilikuwa limekufa kabisa.Hakuna mnyarwanda alijivunia kuitwa mnyarwanda kila mtu alijuta kuzaliwa Rwanda.Kagame kabadilisha yote na kuipa hadhi rwanda kimataifa.Napendekeza wanyarwanda wampe Kagame hadhi ya baba wa taifa wa Rwanda.Na wamtangaze wazi bungeni.He has done a lot he deserves