Kagame appoints Ngonga to head BBC Documentary Inquiry

Kagame appoints Ngonga to head BBC Documentary Inquiry

Inabidi watu wa badilike wajione more mnyarwanda than hutu and tutsi,waache huo uongo wa wazungu.

Mukamasimba huu ujinga bado upo Rwanda. Mara nyingi sana huwa nasema amani na usalama wa muda mrefu utakuwepo siku watu wakiwa na akili za kawaida.

Ndio maana nasema Interhamwe waletwe peupe wasijifiche, no need to kill them. Let us ask them whether they killed Tutsis because of their noses or because they are tall. And ask them if it will be fair or justified if we kill them because they are short and have a wide nose.

Tanzania huku huwa hatusema mtusi....nadhani mtakumbuka Brother Ulimwengu alikuwa anatajwa kuwa ni rais wa kigeni yaani mnyarwanda...sio mtutsi. Hata mhutu ambaye ajabu wanaopenda uhutu na ututsi hawamtaji (idd Simba) hakuna aliyesema ni mhutu, alitajwa tu kuwa ni mnyarwanda.....

Maana yangu ni kuwa uhutu na utusi ni non sense.
 
Ahahahah..nose politics...kweli umesema ukweli ndiomaana sasa wanamuandama miss tanzania eti ni mnyarwanda kwasababu ya nose politics.
Hehehe...hawa jamaa wameishiwa...wakiona mtu mrefu na pointed nose basi ni Tutsi..so simplistic in their approach..ukishakuwa na siasa za chuki utatumia kila hila kufanikisha azma yako..cha kuchekesha hawa hawa wanaochukia Tutsi wako busy kutongoza Tutsi girls...hypocrites!
 
Hii kali sana. Yaani unataka kuaminisha watu kuwa mawaziri na maafisa wote nchini Rwanda ni Tutsi? Acha propaganda za kitoto. Kwanza si kweli, pili je nikikuletea list ya mawaziri na picha zao unaweza kusema nani Hutu na nani Tutsi? Msiangalie pua nyie. It's more complex than nose politics.

Mzee wa genosaidi funguka....... Kwahiyo siyo pua tu, haya, lete story. Na kitu gani?
 
Back
Top Bottom