Kagame appoints Ngonga to head BBC Documentary Inquiry

Mzee wa kujitawaza ukiwa umesimama tema sumu tema sumuuuuuuuuu.
tema sumu tema sumuuuuuuuuu Wapi murutongore, wapi koba? wapi commanche?
Wazee wa jenosaidiiiiiii.
Bado mnaenda congo kuwaibia madini yao?
Tatizo la watanzania hamjiamini...kufunga BBC mnaona ni kitendo cha ajabu sana lakini kwa rwanda si kitu cha ajabu..pk alisema ukiniheshimu nitakuheshimu..kwa hiyo tuheshimiane..kama unakumbuka mfaransa alitaka kuleta ujinga wake akatimuliwa rwanda,South afrika naye katimuliwa,mwanasheria wa kimarekani alifungwa bila kukali ana rangi gani..haya tz haiwezi kuyafanya..kwani mzungu kwao nikama mungu..pole sana..ikibidi mjifunze kwa rwanda jinsi ya kulinda heshima ya mwaafrika.
 
Waafrika kweli tuna natatizo...weekleaks..waliandika kuhusu amerika..jamaa waliandamwa na kuwindwa mpaka sasa ....hebu hii BBC wajaribu kuandika uongo kuhusu genocide ya wayahudi nafikiri BBC hivi wangeku wamepiga magoti wakiomba msamaha..kwakua sisi ni waafrika..wanafanya watakalo na ukifunga hizo radio wanasema eti ni kuzuia uhuru wa wanahabari..ukiwauliza kwanini weekleaks wameisimamisha hawawezi kukujibu kitu..lakinu kinacho sikitisha nihawa mbumbu za wafrika wenzetu ambao wanaona ya wazungu ndiyo sahihi na kudharau ya waafrika wenzao..please acheni rwanda ipiganie
Heshima yake..kama nyie waafrika hamuwezi kuungana na rwanda kupambana na hao mabeberu please kaa pembeni muache the real african wafanye yao.

Mzee wa jenosaidi umepotea sana siku hizi. hupo? Unajua kama ndani ya nchi ndogo kama rwanda ma black wenyewe wanabaguana in terms of kabila, lakini lugha nasikia mnaongea ile ile unafikiri kuna nini hapo? Jisafisheni kwanza humo ndani kwenu alafu ndo upigane na mabeberu wa kizungu.
Nyerere aliweza kupigania uhuru wa Mozambiq, Zimbabwe South Africa na kumtoa nduli Idd amin wa Uganda kwasababu ndani mwake alikuwa hana ubaguzi wa kabila wala watu wa class fulani.
Siku hizi tuko na jamaa mmoja anaitwa mchambawima humu ndani. anatema sumuu mbaya........LOL
 
Nasikia kuna siku maalum imetengwa wahutu waombe msamahaa watutsi tukifika hapo hakuna myarwanda kuna wahutu na watutsi.

hayo ya wahutu na watusi waliisha yaacha,sikuhizi wote ni wanyarwanda,nenda kaangalie kwenye id zao hutakuta muhutu au mtusi hayo yalikua ya akina habyarimana na interahamwe wenzake.
 
Ndugu yangu hakuna cha kubaguana..hao wazungu ndio wanaendelea kupandikiza hizo chuki baina ya waafrika..wakitumia documentaries,reports,na media nk,rwanda kuna reconciliation process inaendelea lakini mzungu kwa kutumia vibaraka wake wa kiafrika hataki hilo lifikiwe kwani kwao hakuna kizuri cha waafrika,hivi rwanda imepiga hatua kubwa katika reconciliation..ukifika mwenyewe rwanda utashangaa tofauti nahizo propaganda za hao wapinzani.
 
Hicho kitu hakipo kabisa...hakuna mtu anaye lazimishwa kuomba msamaha..ni kama kanisani unaombwa kutubu dhambi zako lakini si lazima...na hii ni kwa wantarwanda wote ili waweze kusameeana hayo ni kawaida kama umemkosea mwenzako kama ni muungwana lazima utaomba msamaha.
 
kuna ukweli kwenye ile documentary ya BCC. Lazima Kagame, awe mkali mambo yamewekwa wazi na ndivyo alivyo. Hakubali mawazo mbadala.
 
Ndugu yangu hakuna cha kubaguana..hao wazungu ndio wanaendelea kupandikiza hizo chuki baina ya waafrika..wakitumia documentaries,reports,na media nk,rwanda kuna reconciliation process inaendelea lakini mzungu kwa kutumia vibaraka wake wa kiafrika hataki hilo lifikiwe kwani kwao hakuna kizuri cha waafrika,hivi rwanda imepiga hatua kubwa katika reconciliation..ukifika mwenyewe rwanda utashangaa tofauti nahizo propaganda za hao wapinzani.

Mkuu umetumia neno jema sana reconciliation. Kama ni kweli hicho kitu kinaendelea huko, basi mimi nawatakieni heri sana mkuu.
 
Tatizo la watanzania hamjiamini...kufunga BBC mnaona ni kitendo cha ajabu sana lakini kwa rwanda si kitu cha ajabu..pk alisema ukiniheshimu nitakuheshimu..kwa hiyo tuheshimiane..kama unakumbuka mfaransa alitaka kuleta ujinga wake akatimuliwa rwanda,South afrika naye katimuliwa,mwanasheria wa kimarekani alifungwa bila kukali ana rangi gani..haya tz haiwezi kuyafanya..kwani mzungu kwao nikama mungu..pole sana..ikibidi mjifunze kwa rwanda jinsi ya kulinda heshima ya mwaafrika.

Mkuu, sisi mzungu huku kwetu anajua msimamo wetu. Anachokifanya ni kununua mtu mmoja mmoja. Lakini serikali kama serikali hawezi kabisa kuichezea TZ.
 
Mzee wa kujitawaza ukiwa umesimama tema sumu tema sumuuuuuuuuu.
tema sumu tema sumuuuuuuuuu Wapi murutongore, wapi koba? wapi commanche?
Wazee wa jenosaidiiiiiii.
Bado mnaenda congo kuwaibia madini yao?
halafu tukishayauza tunawatengenezea mabomba ya maji, huna habari siku hizi wanapata maji kutoka Rwanda? mi naona hata hiyo migodi watupatie bure tu kusudi tuwarekebishie mambo muhimu, maana Raisi wao anakula juu kwa juu, ukifika Goma sikuhizi utajiuliza kwa nini hawajgawi wakajiunga na Rwanda maana huduma karibu zote ni kutoka Rwanda
 
hayo ya wahutu na watusi waliisha yaacha,sikuhizi wote ni wanyarwanda,nenda kaangalie kwenye id zao hutakuta muhutu au mtusi hayo yalikua ya akina habyarimana na interahamwe wenzake.
lakini sura zinaonyesha mzee. hivi unahitaji kitambolisho ili kugundua kagame au yule waziri wenu wa mambo ya nje kuwa ni mtusi au mhutu? sura zinaonyesha and its natural within your blood and hearts. cha muhimu ni kuungana bila kubaguana muishi kama tunavyoishi watz. kufuta ukabila rwanda labda watusi wakubali intermarriage ili wanyarwanda wote mfanane sura za uso.
 
Jacqueline Umurungi...this is what has been known for a while now that Kagame does NOT seek legal advises from his advisors or he just doesn't trust them for his own silly reasons. A guilty person never hides forever because the truth will always portray him otherwise and will eventually fall from grace. He is appointing people to fabricate lies to counter attack truth and facts, where is the logic here? People already knew about Kagame's involvement in Rwanda genocide long before BBC aired the report but were afraid to come forward. These people appointed or working for Kagame are scared to death to tell their boss otherwise but are forcing themselves to look silly to spare their own lives, what a pitty. I bet Tony Blair is now drinking to death and feeling sorry for himself for being manipulated by modern day Adolf Hitler a.k.a. Kagame. The more Kagame lives and stays in power, the likelier he is to go crazy due to paranoia. A great example of that is the way he over takes his ministers roles in foreign voyages. Indeed, Karma is like a rubber band, you can only stretch it so far before it comes back and snaps at you. Poor Kagame, running out of excuses and options.
 
Crazy deluded moron.. take your meds.
 
jMali

inyenyerinews...that says it all. most of these interahamwe websites, do not even employ journalists but they employ themselves and you find someone was a bus driver who killed people in 1994 ran away then you see him in these website eti ni investigative journalist. journalism is a profession hence the irrelevance of news from these sites. Read them with a pinch of salt. Kama raisi wenu alivyowahi kusema, "akili za kuambiwa....changanya na za kwako".

So murutongore...disregard this interahamwe site or publicist whatever you wanna call it....how then do you counter attack fabrication za Kagame about genocide against the truth/facts? Remember, people have evidence(s) gathered and Kagame is busy fabricating nonsense excuses after excuses. Truth always conquers over lies. If you are really smart, look at Kagame's interviews when asked about his involvement in the genocide of Rwanda. If he was happy before the interview, he abruptly changes mood and start shouting. This is a sign of a guilt person/murderer. I saw his interview when quizzed by Zeinab Badawi of BBC's Hard Talk show. He became angered by simple questions that were directed to him. He was paranoid till Zeinab started laughing and just looked at him like little kid. That man is hurting inside and will eventually go crazy before he dies. You can never kill people to hide the truth. President Mobutu of the then Zaire used to say to his people..."You Zairean people, I know you hate me and wish for me to die but remember, I will kill and torture many of you before you kill me." Where is he today, did he die in his country?
 
halafu shida ya kagame ni kuwa kikishanuka huko Rwanda sijui atakimbilia nchi gani, maana hapa EAC wote hatumtaki! kenya walishawahi kuvunja uhusiano na Rwanda kutokana na ugaidi wake, uhusiano wa leo ndani ya COWs ni kwa ajili ya biashara tu za mombasa port. Uganda nao alishapigana nao DRC leo hii wanaishi kwa machale na Museveni, Burundi nako alishaharibu, na sasa anazidi kuharibu uhusiano na Tanzania..Labda atahamia somalia..
 
Hizi zote ni swaga za a guilty person...zile damu alizomwaga za watu ndizo zinamsuta hivyo anaona kila mtu anamwinda na kumsakama. Yule mtu atakufa vibaya sana.
 
halafu tukishayauza tunawatengenezea mabomba ya maji, huna habari siku hizi wanapata maji kutoka Rwanda? mi naona hata hiyo migodi watupatie bure tu kusudi tuwarekebishie mambo muhimu, maana Raisi wao anakula juu kwa juu, ukifika Goma sikuhizi utajiuliza kwa nini hawajgawi wakajiunga na Rwanda maana huduma karibu zote ni kutoka Rwanda
Ahahahahha, mzee wa kutema sumu. We hujui kuwa wizi ni mbaya? sasa sisi tunamsaidia kijana wetu kabila hakuna kuingia congo na kuwaibia madini yao. Kumbe ndo maana unachamba wima wewe. Kagame ndo kakufundisha ukibaka huo? Mzee wa sumuuuuu, tema sumu ya wizi tema sumuuuu
 
lakini sura zinaonyesha mzee. hivi unahitaji kitambolisho ili kugundua kagame au yule waziri wenu wa mambo ya nje kuwa ni mtusi au mhutu? sura zinaonyesha and its natural within your blood and hearts. cha muhimu ni kuungana bila kubaguana muishi kama tunavyoishi watz. kufuta ukabila rwanda labda watusi wakubali intermarriage ili wanyarwanda wote mfanane sura za uso.

Ahahahha, haina haja ya kutaja kweli. Wanaonekana kwa sura tu.
Kagame anafanana na vile vi somali tunavyoviona kwenye makambi ya wakimbizi.
 
Tatizo la watanzania hamjiamini...kufunga BBC mnaona ni kitendo cha ajabu sana lakini kwa rwanda si kitu cha ajabu..pk alisema ukiniheshimu nitakuheshimu..kwa hiyo tuheshimiane..kama unakumbuka mfaransa alitaka kuleta ujinga wake akatimuliwa rwanda,South afrika naye katimuliwa,mwanasheria wa kimarekani alifungwa bila kukali ana rangi gani..haya tz haiwezi kuyafanya..kwani mzungu kwao nikama mungu..pole sana..ikibidi mjifunze kwa rwanda jinsi ya kulinda heshima ya mwaafrika.

Unanikumbusha enzi ya Idd Amini Dada, alikua na sifa zote ulizozitaja hapo
 
Back
Top Bottom