Kagame appoints Ngonga to head BBC Documentary Inquiry

Hicho kitu hakipo kabisa...hakuna mtu anaye lazimishwa kuomba msamaha..ni kama kanisani unaombwa kutubu dhambi zako lakini si lazima...na hii ni kwa wantarwanda wote ili waweze kusameeana hayo ni kawaida kama umemkosea mwenzako kama ni muungwana lazima utaomba msamaha.
Kagame ameshaomba msamaha kwa wahutu 800,000 aliowauwa rwanda, na maelfu aliowaua Congo?
 
Ona sasa, yani back to squire one! Mi nishawaambia kinaJmali ndio muwaulize kama walishatubu dhambi zao, wao ndio waliokamata ndugu zao matekwa kusudi wasirudi Rwanda wakabaki pekeyao, halafu walivyokuwa washenzi wakaendeleza buguzi zao ndani ya Rwanda wakitokea kambini DRC, sasa we unafikiri tungefanyeje tuwe salama? Blame Jmalis my friend.
 
Tutaungana vipi kumtetea mtu anayeua jirani zake...kwa nini ana destabilize DRC? hana spirit ya Pan Africanism kwa hiyo huu mziki ni wake peke yake....tena ni wake yeye kama individual na si Wanyarwanda...except nyie anaowalipa kumtetea...na hao wanaokula nae nchi...

Umeona tunamuandama Mugabe humu...? Kina Mugabe ndio wa kutetewa in the name ya Mwafrika mwenzetu...

PK alikuwa kibaraka namba moja wa west sema wamemtema ndio maovu yake yanakosa mtetezi si West wala South...

Waafrika kweli tuna natatizo...weekleaks..waliandika kuhusu amerika..jamaa waliandamwa na kuwindwa mpaka sasa ....hebu hii BBC wajaribu kuandika uongo kuhusu genocide ya wayahudi nafikiri BBC hivi wangeku wamepiga magoti wakiomba msamaha..kwakua sisi ni waafrika..wanafanya watakalo na ukifunga hizo radio wanasema eti ni kuzuia uhuru wa wanahabari..ukiwauliza kwanini weekleaks wameisimamisha hawawezi kukujibu kitu..lakinu kinacho sikitisha nihawa mbumbu za wafrika wenzetu ambao wanaona ya wazungu ndiyo sahihi na kudharau ya waafrika wenzao..please acheni rwanda ipiganie
Heshima yake..kama nyie waafrika hamuwezi kuungana na rwanda kupambana na hao mabeberu please kaa pembeni muache the real african wafanye yao.
 
Tutaungana vipi kumtetea mtu anayeua jirani zake...kwa nini ana destabilize DRC? hana spirit ya Pan Africanism kwa hiyo huu mziki ni wake peke yake....tena ni wake yeye kama individual na si Wanyarwanda...except nyie anaowalipa kumtetea...na hao wanaokula nae nchi...

Umeona tunamuandama Mugabe humu...? Kina Mugabe ndio wa kutetewa in the name ya Mwafrika mwenzetu...

PK alikuwa kibaraka namba moja wa west sema wamemtema ndio maovu yake yanakosa mtetezi si West wala South...

We acha ujinga na kujifanya unajuwa mambo, hiyo DRC unayojifanya kuipenda sana imekosa uongozi bora tokea kipindi Lumumba(RIP) alipofariki, aliyefwata alikuwa mshenzi kuliko unavyofikria wewe, watu walio kuwa wakilalamikia rushwa na wizi wa mali yeye alikuwa anawacheka nakusema ah Zaire hakuna wezi ila ni wahamishaji wanaotoa kitu hapa na kupeleka pale basi! Hakuishia hapo akasema wezi wasiguswe kwani Zaire uwezi ukaiba umalize yote, upo hapo? Ikafika kipindi nchi ikawa kama haina mwenyewe kiasi kwamba unakutana na police barabarani anakuuliza kitambulisho ukimwonyesha haishii hapo atajaribu jinsi awezavyo mpaka apate kitu kidogo mwishowe utasikia anakuomba kadi ya ubatizo hata kama wewe ni mwislamu, kwa hiyo lazima zikutoke upende usipende.
Funga kazi ni pale kina Jmali walipopata upenyo wakakimbilia huko wee wacha waanze kuwaharibu wazairoi, mara oh nyie mnaishi vp vizuri na wanyamurenge wakati ndugu zao tushawamaliza Rwanda, kidogo kidogo wakaanza kijishirikisha na wanyonya damu, basi tangu kipindi hicho mpaka leo kimavi cha kina Jmali kimewaandama. Tumejaribu sana kuwasaidia lakini ndio hivyo tena, kukosa kwao nidhamu tokea zamani ukichanganya na kujiusisha na kina Jmali hayo ndio matokeo! Na kama kweli DRC inataka kuwa nchi kweli basi wana budi ya kuisikiliza Rwanda sio wasanii kama wao wenyewe.
 
Kama nchi ilikuwa kama haina mwenyewe nyie kama jirani mkaona mkajichotee kwa kuchochea vita???kwa nini msingefikilia kuwasaidia kuwa na mwenyewe? Mbona DRC ina majirani kibao iwe nyie tu mnaona ufahari ku take advantage ya nchi kutokuwa na mwenyewe????

Wamekosa nidhamu gani wakongomani...?
Wakongo tunaishi nao humu Tanzania hawana shida na mtu...

This is a payback time ya damu mlizomwaga DRC...hizo za Rwanda mtajuana wenyewe...maana mnajuana

Ndugu yangu mbona unanipa tabu, hivi hao wakongoman ulitaka tuwasaidie vipi, tumewatolea kina Jmali na Mobutu wao, tukawakabizi nchi na uraisi, ilipofika zamu yao wakaanza ujinga saa is tufanyeje? Unataka tuwakumbushe eti kina Jmali wana kimavi? Waache watajijua wenyewe tumeshachoka. Ila wafanye wafanyavyo ila wasithubutu kuruhusu kina Jmali kutuchokoza kwa sababu safari hii itakuwa funga kazi.
 
lakini sura zinaonyesha mzee. hivi unahitaji kitambolisho ili kugundua kagame au yule waziri wenu wa mambo ya nje kuwa ni mtusi au mhutu? sura zinaonyesha and its natural within your blood and hearts. cha muhimu ni kuungana bila kubaguana muishi kama tunavyoishi watz. kufuta ukabila rwanda labda watusi wakubali intermarriage ili wanyarwanda wote mfanane sura za uso.

ahahaaha we una matatizo...hivi wewe ukienda rwanda na ikitumika sura wewe utaitwa muhutu au mtusi?
 
Mkuu, sisi mzungu huku kwetu anajua msimamo wetu. Anachokifanya ni kununua mtu mmoja mmoja. Lakini serikali kama serikali hawezi kabisa kuichezea TZ.
ahahahahhaha...ndugu yangu wajua ya kwamba wazungu hupenda wajinga?? kama ukiwa fara mzungu hanatatizo na wewe hebu angalia maraisi na nchi zote ambazo zimeingiliwa na wazungu na kuzivuruga utagundua ninacho kisema,kama unaraisi anaye chekacheka na kutega bakuli kwa mzungu unategemea atamkataa?akiambiwa tunakutaka uuvuruge muungano wa EAC yeye husema ndio baba,akiambiwa tunataka utusaidie kumuundoa pk tukitumia FDLR yeye husema ndio baba,ooh tunataka ile dhahabu ya buswagi iwe yetu yeye atasema ndio baba,sasa wewe unategemea hawa wazungu wata mpinga? please unabidi uielewe hii jungle politics ndivyo inavyochezwa na pk nimwanaume lazima ale sahani moja nao kwani hata hii Genocide ya watusi ni wao walio isababisha kwani waliijenga chuki baina ya wanyarwanda na mpaka sasa bado wanaendelea.
 
ahahaaha we una matatizo...hivi wewe ukienda rwanda na ikitumika sura wewe utaitwa muhutu au mtusi?
kwa bahati mbaya sana mama yangu ana sura ya kitusi, na alizaliwa bukoba hivyo asili yake ni Rwanda hivyo ninajua ninachoongea. hauhitaji maswali. watusi na wahutu wanajulikana kwa sura, acha story za kwenye vitabu kuwa wao ni kitu kimoja na walikuwa categorized kwenye utsi na uhutu kwasababu ya umiliki wa mali. huo ni uongo. mtusi hadi leo hii hawezi kujiita mhutu and vise versa. na mhutu ambaye ana sura ya kibantu pure, ni tofauti na mtusi ambaye utamtambua kwa pua, umbile, sura, macho n.k. ndio maana ukienda Rwanda labda mtu ajiite msomali na uone nywele za kibrush, la sivyo ukimweka kagame hapo ukauliza hata mtoto mdogo huyo ni kabila gani hawezi kusema mnyarwanda, ni mtusi kwa sura anaonekana. lakini tunawapongeza kwa kupiga kampeni ya kutaka ukabila upotee kama ulivyopotea tz, ili wawepo wanyarwanda tu makabila ya potee. lakini ili hiyo ifanikiwe mnatakiwa kuoleana kuwe na intermarriage ili sura zichangamane jambo ambalo ndugu zangu watusi wengi hawalikubali. si rahisi mtusi kuchangamana, ni mara chache sana hasa kuolewa na mhutu....
 
umoja wetu watanzania uliletwa na usawa. Leo hii rwanda haiwezi kuwa moja kwa sababu hakuna usawa. usawa uliopo ni artificial.
 
Wishful thinking. And for your information "mtanzania" what you have there is a ticking time bomb. Have you ever heard of the French Revolution? Subirini.
 
Ndio you are right, Rwanda iliyo kuwa na umoja ni kipindi kile cha Interahamwe i ndio? Interahamwe maana yake ni kupiga kwapamoja(Wahutu wenye itikadi kali) na huo ndio umoja unaoutetea mpaka leo, huyoHute hana tofauti na wewe, yeye mwenyewe kajisemea eti (kwa bahati mbaya)akimaanisha anajuta kuzaliwa na mama wa kitutsi, na unakumbuka kipindi kilehata mzazi mmoja kama alikuwa mtutsi mlimfanya kitoweo, au wazazi wakihutu (wenyeitikadi kali) waliuwa mke/mume na watoto wote na ndio maana hata Hute kwavyovyote jinsi alivyo na hasira kwa mama yake mzazi atakuwa alishamuuwa auanampango wa kumuuwa. Kwa hiyo umoja mnaokubali nyinyi ni wa wahutu wenyeitikadi kali halafu basi. Vinginevyo ni artificial?Kwa taarifa yako hata siku Tanzania ikikupa uraio huo umoja wako wa hivyoitabidi uhusahau la sivyo watakung’oa kucha bila ganzi.

kwa bahati mbaya sana mama yangu ana sura ya kitusi, na alizaliwa bukoba hivyo asili yake ni Rwanda hivyo ninajua ninachoongea. hauhitaji maswali. watusi na wahutu wanajulikana kwa sura, acha story za kwenye vitabu kuwa wao ni kitu kimoja na walikuwa categorized kwenye utsi na uhutu kwasababu ya umiliki wa mali. huo ni uongo. mtusi hadi leo hii hawezi kujiita mhutu and vise versa. na mhutu ambaye ana sura ya kibantu pure, ni tofauti na mtusi ambaye utamtambua kwa pua, umbile, sura, macho n.k. ndio maana ukienda Rwanda labda mtu ajiite msomali na uone nywele za kibrush, la sivyo ukimweka kagame hapo ukauliza hata mtoto mdogo huyo ni kabila gani hawezi kusema mnyarwanda, ni mtusi kwa sura anaonekana. lakini tunawapongeza kwa kupiga kampeni ya kutaka ukabila upotee kama ulivyopotea tz, ili wawepo wanyarwanda tu makabila ya potee. lakini ili hiyo ifanikiwe mnatakiwa kuoleana kuwe na intermarriage ili sura zichangamane jambo ambalo ndugu zangu watusi wengi hawalikubali. si rahisi mtusi kuchangamana, ni mara chache sana hasa kuolewa na mhutu....

Mimi niliishawambia kutofasutisha watu kwa mapua ni kujidanganya nakwambia wapo wahutu wenye pua hizo unazosema za kitusi tena kuna nawatusi wenyehizo pua za kihutu,hii inakuonyesha wazi kwamba mtusi na muhutu si kabila au ukoo bali hii ililetwa na wazungu ili waweze kuwatofautisha watu watabaka la matajiri(WATUSI) natabaka la masikini(wahutu),kwa maana kwamba aliye kua mfugaji wang'ombe aliitwa mtusi,mkulima akaitwa muhutu haijali umezaliwa na nani.
 
Wishful thinking. And for your information "mtanzania" what you have there is a ticking time bomb. Have you ever heard of the French Revolution? Subirini.
kwahiyo kwako wewe unaamini kuwa revolution ikija kutokea tz ni time bomb? haujui kuwa hiyo revolution ndio kila mtanzania anaisubiria? lakini pamoja na yote sisi bado tu wamoja when it comes to an external enemy. we need that revolution and its not a bomb to us but a blessing. au hujui kama tumechoka na ccm?
 
Mimi niliishawambia kutofasutisha watu kwa mapua ni kujidanganya nakwambia wapo wahutu wenye pua hizo unazosema za kitusi tena kuna nawatusi wenyehizo pua za kihutu,hii inakuonyesha wazi kwamba mtusi na muhutu si kabila au ukoo bali hii ililetwa na wazungu ili waweze kuwatofautisha watu watabaka la matajiri(WATUSI) natabaka la masikini(wahutu),kwa maana kwamba aliye kua mfugaji wang'ombe aliitwa mtusi,mkulima akaitwa muhutu haijali umezaliwa na nani.
hizo ni story za kwenye vitabu, lakini reality hata wewe mwenyewe unaifahamu toka moyoni mwako.
 
Inabidi watu wa badilike wajione more mnyarwanda than hutu and tutsi,waache huo uongo wa wazungu.
 
umoja wetu watanzania uliletwa na usawa. Leo hii rwanda haiwezi kuwa moja kwa sababu hakuna usawa. usawa uliopo ni artificial.
Hahah!unajaribu ku insist kweli, sema umoja wenu, kwani wewe sio mmoja wao wewe ni mwenzetu mNyarwanda kwanini unang`ang`ania uraia usio wako?
 
Mbona sijasikia waziri au afsa wa serikali ya rwanda ambaye siyo mtusi? Duh, huu ukabila wa rwanda ni noma. Ngoja tuone sasa mambo yanavyowekwa hadharani.

Hii kali sana. Yaani unataka kuaminisha watu kuwa mawaziri na maafisa wote nchini Rwanda ni Tutsi? Acha propaganda za kitoto. Kwanza si kweli, pili je nikikuletea list ya mawaziri na picha zao unaweza kusema nani Hutu na nani Tutsi? Msiangalie pua nyie. It's more complex than nose politics.
 
Ahahahah..nose politics...kweli umesema ukweli ndiomaana sasa wanamuandama miss tanzania eti ni mnyarwanda kwasababu ya nose politics.
 
Back
Top Bottom