Kagame akiongelea kuhusu kipindi chake cha tatu

Kagame akiongelea kuhusu kipindi chake cha tatu

is he suggesting if you deliver then you can stay????? ooooh God not again from this part of the world!! respecting constituition has nothing to do with delivering this guy should know...... or does he say there is no one else in rwanda to be the president apart from him???
 
He says that it's up to Rwandans to decide whether he should take another term or not.
BUT, WE ALL KNOW, THAT RWANDANS HAVE ALREADY DECIDED THAT THEIR PRESIDENTS WILL SERVE FOR ONLY TWO TERMS!
 
is he suggesting if you deliver then you can stay????? ooooh God not again from this part of the world!! respecting constituition has nothing to do with delivering this guy should know...... or does he say there is no one else in rwanda to be the president apart from him???
Kwa hiyo mtu akideliver akae kwenye uraisi maisha yake yote,huyu KAGAME VIPI?
 
1. Niliwahi kuuliza 'wanyarwanda' humu ndani mbona marekani wanabadilisha marais? kama suala ni 'delivery' basi kungekuwa na rais mmoja tu wa US miaka kibao, kwa sababu huko kuna watu wazima hawajawahi kuexperience umeme au maji kukatika hata kwa dk 5, 'maendeleo' yote yaliyoko Rwanda ni cha mtoto compared to US, Canada, UK.

2. Katiba ya Rwanda ilitungwa wakati Kagame na RPF wako madarakani. Wananchi wa Rwanda including kagame himself walikuwa machizi wakati ule kwa kuweka term limits? Kigezo cha 'delivery' hakipo kokote pale kwenye katiba ya Rwanda.

3. kagame anajidai YEYE BINAFSI hataki kubadili katiba ila eti NI JUU YA WANYARWANDA KUAMUA. Guess what, "wanyarwanda" sasa hivi wanamiminika kwa maelfu kwenye ofisi za bunge kuomba bunge livunje katiba ili kagame aendelee, so i guess when the time comes he will say "wanyarwanda wamenilazimisha who am i to say NO". :becky:
 
Je wangemiminika kusema no wangesikilizwa?.Najua mara moja wangeitwa genocide sympathizers etc na kuchinjiliwa mbali kama karegeya.Hawa watu wanaoingia kwa mtutu kutoka pia njia ni kwa njia hiyohiyo.I can see the logic of fdlr now.No option available.
 
weeee!, weeeee!, weeeeee! [kwa sauti ya joti]:becky:
 
1. tatizo sio delivery peke yake wewe! tuna sababu kemkem zinazotufanya tumn'gan'ganie huyu bingwa wenu, hebu angalia hata majirani tulionao... wengine wanafiki, wengine Imbonerakure(Interahamwe Burundian version) wengine mpaka leo bado wanalea watu waliotuulia watu wetu kwa sababu ya ukabila tu... hata wamarekani wanalijuwa hilo(inapobidi nguruwe huliwa) kama vile Franklin Delano Roosevelt aliyeongoza marekani kuanzia 1933-1945 jMali kunabiadamu walioumbwa na vipaji vya uongozi...

2. Katiba yetu haikuandikwa na mitume, tuliiandika sisi wenyewe na ni sisi wenyewe tunaotakiwa kuijadili ubora au mapungufu yake, sio nyie mnaotaka kuijadili mkiwa nje ya uwanja...

3. guess work always...
 
Apishe wengine bwana kwanin yeye tu.ndio maana hata Mungu aliweka ukomo wa binadam na ywye mwenyewe kutoonekana vinginevyo watu wangeandamana kama ya kagame
 
Kagame ni kiongozi ambaye nampenda na kumheshimu na kweli ingekua ni mimi naulizwa, ningeomba atawale hadi kifo chake. Hata hivyo, kuna katiba ya nchi ambayo anafaa kuilinda na inamuagiza ashuke baada ya hiki kipindi. Hayo ya delivery sio kigezo kinacho tosha kwake yeye kuendelea. Unless labda kuna mengine tusiyoyajua na ambayo yanafahamika na Warwanda wenyewe ya kufanya aendelee.

Term limits katika uongozi ni muhimu sana na zinafaa kuheshimiwa. Pia hata na yule Nkuruziza aheshimu katiba na ashuke.
 
Back
Top Bottom