Kagame Admires Mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame Admires Mwalimu

Discussion in 'International Forum' started by cerezo, May 27, 2010.

 1. c

  cerezo Senior Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wakuu,

  Just read this interview on Uganda's Monitor newspaper. Its a two-part story and on it Kagame admits that the leader he admires the most is Mwalimu. He is the young mwalimu only difference is that Kagame is a military man. I think Mwalimu is the exemplary African leader, what he lacked is the whip to put the technocrats in line and implement his vision.

  May the Almight God Rest his Soul in Peace.

  Click on the link below:

  Daily Monitor:
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hana lolote huyo ni kujikomba komba tu. Kwani anasema kitu ambacho hakijulikani. He shuold face up his crimes.
   
 3. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  stop that!kagame kufananishwa na mwalimu ni matusi sasa,ni sawa kufananisha mbingu na ardhi haiwezekani,akisema anamuadmire ni sawa sio kujifananisha puliiiizz:angry:
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  si mbaya kumuadmire swali ni je anazifuata nyayo zake? au anamchukulia kama comedian?
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Si Mtazamo wake yeye tu; nimekuta na baadhi ya wanyarwanda wengine; ni kitu pekee na kikubwa ambacho kinawafanya watuheshimu sana wabongo! Ni kweli sie tulikuwa na bahtai ya kuwa na kiongozi kama Mwalimu! Na si kwa wanyarwanda tu hata hawa Wahindi kule kwao na hasa kwenye taasisi za elimu kama chuo kikuu cha Delhi wanathibitisha hili. Mnapomlaumu kama Kagame anayaishi maisha ya Mwalimu anzeni kwenu kwanza na hawa viongozi wetu ambapo MWAlimu ni Baba yetu wa Taifa.......utashangaa ukiona Kagame walau anafikisha asilimia 3!
   
 6. c

  cerezo Senior Member

  #6
  May 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  BabuKijana,

  Read carefully the Subject matter! Sio unabwatuka tu na kuandika bila ya kusoma na kuanalyse the interview. Kagame na viongozi wengine wengi wa kiafrica watakuwa judged by history. sio wewe wala mimi and furthermore. Lets wait and see. We cannot judge a leader while he/she is still in the office. Hata yeye mwenyewe amesema kwenye interview hii.....kuwa atawaachia historians wam judge akisha ng'atuka....
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  we cnt compare this guy with nyerere mzee!no way ongea kitu ingine,akisema anamkubali nyerere ni sawa nadhani hilo liko wazi worldwide.everyone admire mwalimu.
   
 8. T

  Tata JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  "Let me give an example of Mwalimu Nyerere; if you ask me on the continent the person I appreciate or appreciated, I find a lot in him that I feel proud about for him. There are many others, the obvious ones like Nelson Mandela and others but it never occurs to me that I would like to be like them or be them. No, I just learn so much about them and appreciate them but I have always wanted to be myself and the best I can be in my own circumstances."

  Kagame anachosema hapo juu ni kuwa kuna vitu vingi kuhusu Mwalimu Nyerere ambavyo anajivunia na kuwa kuna wengi wengine akiwamo Nelson Mandela. Anahitimisha kwa Mwishoni anasema kuwa anajifunza mengi kutoka kwa watu lakini hana mpango na hajawahi kuwa na mpango wa kuwa kama watu hawa.
   
 9. k

  kisikichampingo Senior Member

  #9
  May 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Masikini_Jeuri umeongea point. Charity begins at home. Je, Kikwete, Mkapa na Mwinyi, wanafuata falsafa za Mwalimu?
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kila mtu ana mazuri yake kwa wakati wake. Tatizo pia ni kwamba wengi wetu tumekuwa watu wazima wakati Mwl. keshang'atuka. Kwa mtazamo wangu nadhani kila mmoja amefanya kazi nzuri sana kwa nchi yetu kwa wakati. Inatakiwa tuweke vigezo na hivyo vigezo tuzipe uzito halafu tuanze ku-rank hawa watu kila mmoja na sio kutumia tu feelings kusema huyu alikuwa mzuri zaidi kuliko huyo nakadhalika. Hata Idd Amin has done a lot to Ugandans that they can remember today on the positive side though he has also quite a chunk on the negative side!
   
 11. a

  asagulaga Member

  #11
  May 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mwache Kagame amsifie mwalimu
   
 12. K

  Koba JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...wewe hiyo poison mliyokula na extremist hutu wenzako towards Kagame inakufanye ushindwe kusoma hata kilichoandikwa,mmebaki kumwaga sumu zenu all over the net lakini ukiingia Rwanda na mnachoongea is like day and night,mbona siku hizi hutuletei zile paste & copy articles za ant kagame kutoka kwenye hate blogs/website zenu? FYI Nyerere ni very popular Kigali and was a big supporter wa Kagame/RPF na hata leo angekuwa anaishi he would be very proud kwa jinsi kagame anavyoongoza Rwanda,nisingeshangaa kama bado angekuwa raisi wakati ule wa vita,JWTZ wangekuwa part of it.
   
Loading...