Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,508
- 106,933
Habari zisizodhibitika zinasema Kafulila yuko mbioni kuhamia CUF! Je huu ni mwanzo wa ku-poach members kuelekea 2010?
Mhhhhhhhhhhh..ushabiki mwingine bana..CUF wawe sawa na CCM wapi na wapi? aAende kwa amani, akumbuke kuwashauri CUF kwamba wao CUF ni kitu kimoja na CCM hawana jipya lolote.