Kafulila ze tumbili.. Thank you

Kafulila ze tumbili.. Thank you

HA HA HA Gud PAMOJA NA KEJEL HIYO LAKIN UTUMBILI WAKE ULIWAFUNGUA MACHO WA TZ
 
Hata sie wafugaji hupenda kufuga mbwa wanaowinda...mimi km mwananchi mfugaji nashukuru sana mfugo wangu huu 'tumbili' maana umenifungua wafanyayo mifugo mingine 'minyangumi'...asante tumbili kafulila
 
yaani nikikumbuka mhongo siku anajibu hoja alivyokua anahashuka pale mbele daaah

Kuwapa madaraka hawa maprof n dk ni kuongeza umasikini kwa watz.mbna enzi y nyerere hawakuwepo n maisha yalikua poa 2 hawa ni wasaka tonge.huyo mulongo ametupa hasara kubwa sana mgodini kwe2 acha 2
 
Kuwapa madaraka hawa maprof n dk ni kuongeza umasikini kwa watz.mbna enzi y nyerere hawakuwepo n maisha yalikua poa 2 hawa ni wasaka tonge.huyo mulongo ametupa hasara kubwa sana mgodini kwe2 acha 2

yaani ni kweli alikua anajibu kwa dharau kumbe zero
 
Back
Top Bottom