Kwa mwaka serikali inaingiza ruzuku ya zaidi ya 400bn kuibeba TANESCO kutokana na madeni makubwa ya mikataba ya kifisadi na uchakavu wa gridi unaosababisha karibu 30% ya umeme wote unaozalishwa kupotea njiani kabla ya kumfikia mteja.
Wakati wakulima wetu ambao nizaidi ya asilimia 70% ya watanzania wanyonge mwaka huu ruzuku ya mbolea imetengwa 10bn kutoka 78bn ya mwaka 2015/16. Alafu tuendelee kuamini hii ni serikali ya wanyonge?
Kwenye azimio la Arusha hii ni moja ya aina ya unyonyaji.