Painstruth
Member
- May 5, 2008
- 77
- 24
mkuu huwa sileti habari za kimbea ata siku moja mpaka kesho utakuwa umekubali mi si kabweKimsingi kauli ya Dr Mvungi imerushwa kama short clip kwenye Channel Ten news bulletin na haikujitosheleza sana kuweza kuielewa kama sio mwanachama wa NCCR au mwenye ufahamu wa katiba ya NCCR...lakini pia nadhani inatakiwa tafsiri iliyoshiba ya hili kabla ya kushangilia kuwa Zitto alichemka...kimsingi mimi sikubaliana na hizi harakati za Zitto na Kafulila,lakini siwezi changia kwa uhuru hoja kabla sijapata tafsiri iliyojitosheleza kwa hili.....
Haya mambo ya humu wakati mwingine yanachefua sana. kwani ni kama vile jambo la maana lililobakia kwa watanzania ni uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.mkuu huwa sileti habari za kimbea ata siku moja mpaka kesho utakuwa umekubali mi si kabwe
Endelea kutoa hbr,sina chanzo cha hbr zaid ya jf,tv n radio vmeenda na maji during fladsi
nubuck syndicate,u hav no research,its shamefulunawashwa??
Court blocks Kafulila expulsion from NCCR Send to a friend
Tuesday, 27 December 2011 22:03
digg
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The embattled NCCR-Mageuzis Kigoma South MP, Mr David Kafulila, won a political reprieve yesterday after the High Court temporarily suspended the party decision to strip him off his membership.
Lady Justice Alice Chingwile granted an application Kafulila filed at the High Court last week in which he sought an order to suspend last weeks NCCR National Executive Committee (NEC) move to expel him from the party until a main case he filed at the same court to challenge the sacking is heard and determined.
The court order comes a few days after Mr Kafulila went to court to challenge his ejection, which went along with an application for injunction order to block execution of the stern decision against him.In his main case, the young politician is asking the court to nullify the NECs decision, which would consequently lead to his losing of the parliamentary seat, on the grounds that it was unconstitutional.
The outspoken politician was expelled for alleged misconduct and masterminding a plot to oust the partys chairman, Mr James Mbatia. Until yesterday evening NCCR-Mageuzi leader had not been served with the injunction order but Mr Kafulilas lawyer, Mr Daniel Welwel, told The Citizen that they would present the decision to the party leaders today.
The order means Mr Kafulila has all the legal rights to carry on with his legislative duties as usual, and he appealled to voters not to lose hope following NCCRs decision. The most important thing is that I will continue to serve the people of Kigoma Southso I urge them to cast off all doubts after what transpired recently, he said over the telephone.
On December 18 this year, Mr Kafulila and three other NCCR-Mageuzi members including the partys last years general election presidential candidate, Mr Hashim Rungwe, were ejected from the party for alleged misconduct and running an underground campaign to oust Mr Mbatia.
Mr Kafulila entered the conference venue confident he would oust Mbatia but in an interesting turn of events he ended up being crucified and stripped of his membership. He broke into tears and wailed uncontrollably when the majority of the 60 NEC members present voted overwhelmingly against him
acha tujadili mkuu,hawa jamaa watatuibia sana tukilala.Haya mambo ya humu wakati mwingine yanachefua sana. kwani ni kama vile jambo la maana lililobakia kwa watanzania ni uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
katika harakati za kabwe kutaka kujisogeza pale magogoni.amejikuta anaangukia pua baada ya kudanganya waandishi nasi wadau hapa jamvini eti kafulila ameruhusiwa na mahakama kuendelea na kazi za kibunge mpaka kesi ya msingi isomwe.Dr mvungi amewahabarisha waandishi ukweli wakabaki wanashangaa na kujiuliza wamfanye ni kabwe kwa kuwadhalili,inshort hakuna taarifa ya mahakama inayosema alivyotuambia kabwe juu za mshirika wake.na kabwe jitazame utashusha heshima yako kwa jamii kwa kutaka umarufu kwa hila
Kabwe Zuberi Zitto hana madhara tena labda atolewe tena bungeni ndiyo atarudisha heshima yake na jinsi siasa inavyoenda baada hamadi ni yeye yatamkuta kwa sababu ya maneno yake na msimao wake usiozingatia maslahi ya chama na ni imani yangu ndani ya CDM wamemvumilia sana
nubuck syndicate,u hav no research,its shameful
Tv u
Mara zote nimemuona hivyo!nyie kwani hamumjui zitto? Zitto ni muongo wa kutupwa kwani alikana kuhusika na migogoro ndani ya NCCR pamoja na kafulila leo hii huyohuyo Zitto anakuwa msemaji wa kafulila. ni nafasi nyingine ya kumfahamu Zitto kabwe kwa undani
Kwa mwenendo wako unaashiria utakufa na umasikini wako, unaashiria uwezo mdogo sana wa kujadili mambo, umetawaliwa na majungu zaidiZitto ni tajiri mkubwa na utajiri unamchanganya.